jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,204
- 1,939
Kwa kuwapa Nkana goli la offside. Bwalya alikuwa mkono mmoja offside.usimsahau na refa peter weweru kakuma alifanya kazi kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwapa Nkana goli la offside. Bwalya alikuwa mkono mmoja offside.usimsahau na refa peter weweru kakuma alifanya kazi kubwa
hakuna sheria inayo sema ivo, mpira uanze kabla ya maamuzi ya refa ingekua ivo basi goli zingekua nyingi sana kwenye soka. kilicho fanyika ni mahaba ya refa baada ya kuona mambo ni magumuHilo soka la kizamani lilikua linatuponza sana Wabongo enzi zile Waarabu walikua wanatusumbua kwenye soka
Eti wachezaji wetu walikua wanasubiri firimbi ya refa tu muda wote wakati warabu ikiwekwa tu faulo wanaanza fasta, wanatufunga na refa anaweka kati, lazima uwena mbinu za kucheza kimataifa jombi
nilijua utajibu kwa hoja kumbe mipacho, refa ashukuliwe mkuuAcha ushamba wewe.
Hahahah bdo unaendelea kucommentHivi hujawaelewaga hawa hawajui nini maana ya utani wa jadi.
hahahahaha mkuu acha kunichekesha zile beki zako badala zikabe zinakimbia offside gani ileKwa kuwapa Nkana goli la offside. Bwalya alikuwa mkono mmoja offside.
Ndiooo. Naachaje sasa.Hahahah bdo unaendelea kucomment
Nashangaa eti wanakazi ya kuambiana Chama ana akili kwa kufanya alichokifanya wakati inaonyesha dhahiri refa ndio kawabeba.Hakuna goli la mipango pale, kama ni mipango basi ya refa peter kakuma kuruhusu faulo bila ya kupiga kipenga kama hiyo ndo mipango uko sawa
yaani jamaa wanafurahisha sana, tangu dk ya 1 refa alionesha mahaba yaani nkana hawajui kurusha yaani nkana hawajui kujipanga fauloNashangaa eti wanakazi ya kuambiana Chama ana akili kwa kufanya alichokifanya wakati inaonyesha dhahiri refa ndio kawabeba.
Hivi utumshukuru baba kwa kukuletea nguo wakati ni wajibu wake chama hatumsifu ila ndio kazi ilio mleta Simba, we ulifikiri alikuja kuimba singeli kama ajibu?Mmh. Hivi Nkana alinyanyasika kweli. Wakati mwishoni mlipoteana vibaya vibaya. Mshukuruni tu huyo Chama.
kessy ni mchezaji wa kimataifa wa nkana fc aliye ikimbiza beki mbovu ya nyau fcMkuu hata mimi nashangaa. Eti Kessy kasema ha ha ha ha Kessy ni nani?
Kwanza aliwadanganya Nkana kuwa Simba ni wepesi kufungika[emoji3][emoji3]
Maneno hayo Sesten usije kuyakataa hasa pale utakapojiona katika uliopangwa nao we ndio unakuwa mshika mkia.Sasa wale tuliofuzu nao ndio kiwango chetu, ndio watu tunaweza kaa nao meza moja..sio kuwafunga Ruvu Shooting halafu mnajiona mna booonge la tmu, hhahahaa
Usiseme Nkana hawajui kurushayaani jamaa wanafurahisha sana, tangu dk ya 1 refa alionesha mahaba yaani nkana hawajui kurusha yaani nkana hawajui kujipanga faulo
refa mahaba tangu mwanzo
Naona mmejua kujazaana Watani zangu. Haya hongereni ila niseme tu bahati ilikuwa upande wenu na si kingine.
Nilicho notice hii account inaendeshwa na mtu ambaye si bi hindu tena ni mvulana! Nimeichunguza kwa muda mrefu kiasi!
Hii ndio shida yenu Watani zangu. Haya bana hakuja kuimba Singeli.Hivi utumshukuru baba kwa kukuletea nguo wakati ni wajibu wake chama hatumsifu ila ndio kazi ilio mleta Simba, we ulifikiri alikuja kuimba singeli kama ajibu?
Amefanya sehem ya kazi yake na sisi tunaipongeza simba kwa ujumla
Mmmh. Uwezo gani wakati dkk za mwisho washambuliaji wa Nkana walipenya ngome yenu watakavyo. Bahati ile bana.Uwezo ndiyo uliyokuwa upande wetu na si bahati...
Bahati kufunga goli 1 na si 3
Bila shaka raha ushaipataNkana tupen raha wana jangwani