Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Umeeleza vyema kabisa na kama wanaangalia zile kosa kosa za nkana kua ndio udhaifu wa beki zetu, basi ujue nkana hawana beki, maana sisi ndio tumewakosa kosa mala nyingi.
 
Wavimba macho kimyaa. Simba ndio wawakilishi wa kweli Nchi hii. Wengine wote wangekuwa wameshatupwa kombe la shirikisho.
Goli la ugenini ambalo migongo wazi hawakujua kwanini tulilishangilia ndio limewaingiza Simba kwenye group stages.
1.3 bilioni kibindoni.
 
hakuna sheria inayo sema ivo, mpira uanze kabla ya maamuzi ya refa ingekua ivo basi goli zingekua nyingi sana kwenye soka. kilicho fanyika ni mahaba ya refa baada ya kuona mambo ni magumu

vp nkana hawajui kurusha mipira hadi walipo fikia hapa.
Mkuu lengo la nkana lilikua ni kuchelewesha mda na ndio maana walipofungwa, ghafla wakabadilisha aina ya ulushaji

Refa aliwasoma mapema tu.
 
Mikia FC wataishia kuwa wa mwisho tu kwenye kundi lao.
Mtateseka sana .Lini Simba aliwahi kuwa wa mwisho?Mwaka 2003 alikuwa wa mwisho?
Nyie migongo wazi mlipewa kundi laini la shirikisho mkatia aibu kwa kuwa wa mwisho kwa kushinda mechi 1 yaap mechi 1.Tena mwaka huu huu.
Mmegeuza hoja kama kawaida yenu.
Ilikuwa Mbabane ikawa Nkana sasa imekuwa waarabu.
Mtakubali tu wacheni kuteseka.
 
alionesha mapenzi waziwazi kwamba nkana hawajui kurusha

kwamba nkana hawajui faulo yatakiwa kupigwa ikiwa tu refa kapiga kipenga. yale yalikuwa mahaba tangu dk ya 1
Nkana walikosea mara nyingi mno kurusha mipira, tuliokuwa uwanjani tuliona hayo makosa!
Kessy alikuwa anatumia trick ya kurusha mipira kwenye eneo ambalo siyo mpira ulipotokea...nilimuona kessy vizuri sana alivyokuwa anafanya na wala siyo kwa kuangalia kwa tv kama wewe au kuhadithiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…