sio kosa sema makosa tena ya upendeleo wa wazi wazi akimbiwa anazingua anajifanya kutandanza kadiKwahiyo mwamuzi akifanya Kosa ndio ukamfokee mwamuzi Kuna namna ya kuongea nae Kuna captain kazi yake ni nini wewe
Mmezoea kupiga MA referee vichwa nyinyi ndio maana nakwambia Mpira mchezo wa nidhamu
Nyie tabia yenu kupiga piga Watu tokea Enzi zenu Za kina mwasyika
Yanga na professional wapi na wapi
Wewe jamaa naona una ujinga unakusumbua sana...acha uzwazwa wewe!hakuna asiye jua ilo, ila fifa wameacha nafasi kwa vyama kuweka kanuni pia za uendeshaji
ndo maana baadhi ya sehemu mtu anapewa nafasi ya 2 kurusha pale makosa yanapotokea.
kwani ile kuanzisha mpira kinyemela bila ruhusa ya refa ipo kwenye kanuni za FIFA
Hahaaaah jinga kweli wewe...ilicheza but haikufikia hatua aliyofikia simba....lile lilikuwa ni kombe la CAF..hii tunazungumzia ligi ya mabingwa barani africa...yanga ilitolewa huku mwaka jana ndo ikaenda kule caf...hata hao nkana tuliowatoa jana wanaenda kule CAF(viti maalumu).....leo bila shaka nimetoa ujinga kichwani kwakoMiaka mitatu Yanga ilikuwa bingwa wa Tz mfulilizo hujui ilicheza lini?
Lakini kwa nini ujue wakati wewe Haikuhusu?
Mkuu unajua wanaojua mpira kupitia Inst na Magazeti ndo walivyoWalipenya ngome ya simba halafu ikawaje? Maana kupenya hata wewe unaweza ingia uwanjani ukapenya. Suala ni kufunga. Ball possesion umeiona? Shots on target umeziona? Simba jana wameshinda sababu uwezo wao ni mkubwa.
Unayelalamika refa ni wewe usiyeufaham mpira coach wa nkana alikubali na kuwapongeza simba.mswahili mmoja ambaye hajawah cheza hata ligi. Daraja la nne analalamika refa.hii inatokea tanzania tu.
Nkana hajawa na historia ya kumfunga simba taifa. Kama ambavyo simba haijawa na historia ya kumfunga nkana zambia.nyie msiofaham mpira haya hamjasimuliwa?
Nkana walishindwa kuipiga simba bao nyingi kule kwao tayari wakawa wameshndwa na ndo maana simba ilifurahia lile bao moja yanga wakaanza kushangaa inakuaje mnafungwa 2-1 mnashangilia.kumbe simba walishajua jamaa wakija huku watapata kipigo.
Na walichokosea nkana ni kufunga lile bao la kwanza.ni kama waliliamsha dude.heri wangetafuta sare.walipofunga lile bao ndo wakaharibu na kuwatia hasira simba.
Wasiwasi huo ulipaswa kua nao kama timu ambayo imefuzu kucheza hatua ya makundi ingekua timu ya Chura FC maana mgekua na mchecheto mwanzo mwishoManeno hayo Sesten usije kuyakataa hasa pale utakapojiona katika uliopangwa nao we ndio unakuwa mshika mkia.
Yanga haijawahi kuingia makundi klabu bingwa.Ndugu zangu wa Yanga ndio tunapambana na timu inafanya vizuri kipindi hiki lakini kuna haja ya mageuzi makubwa kufanyika hasa suala la uwekezaji wa maana. Mafanikio ya Mikia yawe somo kwenda kwamba siku zote utavuna ulichopanda. Nakataa kukubali kwamba Simba yeye ndio anayaweza haya mashindano. Jiulize toka mwaka 2002 leo ndio anafanikiwa kutinga hatua ya makundi. Ni nguvu ya usajili, nguvu ya pesa. Vilabu vikubwa vyote vimewekeza pesa nyingi sana kwa ajili ya haya mashindano na ni ngumu sana kuchuana nao kama una kikosi dhaifu.
Rejea kipindi Manji bado yupo na timu, tulitinga hatua ya Makundi mara mbili. Sio kwamba tulibahatisha bali tulistahili kutokana na uwekezaji uliofanyika.
Mwisho naiombea Mikia ipewe kundi jepesi ili iendelee kutuwakilisha Watanzania.
Kundi A :
Esperence
Tp Mazembe
Al Ahly
Simba
Wanafanisha CAF Champions league na confederation cup (viti maalum baada ya kutolewa na wale wacheza makirikiri WA Namibia township rollers )Mna maneno nyie yaani Yanga walicheza "viti maalumu".Makundi ya shirikisho ni viti maalumu!!!
Wewe ni Mbumbumbu uliyejiandaa kutokuelewa. Simu unayo hata kugoogle umeshindwa.Yanga haijawahi kuingia makundi klabu bingwa.
Ni simba tu.
hata wangechelewesha saa zima ndo maana kuna dakika za nyongeza (kufidia muda ulio potea) hata wangepoteza lisaa lizima bado kamisaa angeweka lisaa lizima
ko hoja ya kupoteza muda haina mashiko. mkuu tangu hata nkana ajapata goli refa alianza mahaba ya kusema hawajuu kurusha aseeh
Wanafanisha CAF Champions league na confederation cup (viti maalum baada ya kutolewa na wale wacheza makirikiri WA Namibia township rollers )
Soma hiyo post juu Hapo we mbumbumbu mpyaWewe ni Mbumbumbu uliyejiandaa kutokuelewa. Simu unayo hata kugoogle umeshindwa.
ujinga nnao mwingu mkuu, ujue nilishangaa hata ile mpira kuanzishwa bila ya ridhaa ya refa. ni mpya kwanguWewe jamaa naona una ujinga unakusumbua sana...acha uzwazwa wewe!
Fifa kama fifa inasheria zake ambazo zipo 17, tambua hizo ni sheria na si kanuni!
Maana naona unajichanganya sijui unasema kanuni za fifa!
Kanuni zinakuwa ni za mashindano, mfano tpl kuna kanuni zake na hizi hazihitilafiani na sheria za fifa!
Mwaka huu mtaomba sana.Ndugu zangu wa Yanga ndio tunapambana na timu inafanya vizuri kipindi hiki lakini kuna haja ya mageuzi makubwa kufanyika hasa suala la uwekezaji wa maana. Mafanikio ya Mikia yawe somo kwenda kwamba siku zote utavuna ulichopanda. Nakataa kukubali kwamba Simba yeye ndio anayaweza haya mashindano. Jiulize toka mwaka 2002 leo ndio anafanikiwa kutinga hatua ya makundi. Ni nguvu ya usajili, nguvu ya pesa. Vilabu vikubwa vyote vimewekeza pesa nyingi sana kwa ajili ya haya mashindano na ni ngumu sana kuchuana nao kama una kikosi dhaifu.
Rejea kipindi Manji bado yupo na timu, tulitinga hatua ya Makundi mara mbili. Sio kwamba tulibahatisha bali tulistahili kutokana na uwekezaji uliofanyika.
Mwisho naiombea Mikia ipewe kundi jepesi ili iendelee kutuwakilisha Watanzania.
Kundi A :
Esperence
Tp Mazembe
Al Ahly
Simba
wewe unaye jua mpira nambie dakika zinazo fidiwa ni zipi?Zipompa kumbe hujui kabisa mpira.hujui hata dakika ambazo zinafidiwa ni zipi....πππ Kwanini yanga mwateseka hivi? Kwa nini mnaumia? Kwa nini mnapata taabu? Nkana wamekubali yanga hamtaki kabisa kukubali.hii inakuaje?ujauzito mnapataje nyie ilhali aliyelala na simba ni nkana?πππ
Ndo hapo sasa. Yaan nisilale kisa mpira? HaiwezekaniEwaaaaa. Nilikuwa nishangae usingizi unakosekanaje kwa mfano.
We jamaa mbona una kosa akili hivi kwanini lakini?Soma hiyo post juu Hapo we mbumbumbu mpya
Oohh, kumbe mmewahi 1969 na 1970. That was it!Wewe ni Mbumbumbu uliyejiandaa kutokuelewa. Simu unayo hata kugoogle umeshindwa.