Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Sorry mtani kama umekwazika ni utani huo, kwa kuwa Hajar nilimtafutia dada yake Shunie kwenye utani wa Jadi..

Nafikiria kukupatia mwenziwako mtani.

Lakini jifanye kama unajikuna mtani..Simba Ni Tishio Unasemaje..![emoji3][emoji3]
Hivi Mkuu bado unabishana nao hao wanaodai tumeujulia mpira Insta. Koh koh.
 
Yanga ndio pekee inaongoza kufungwa magoli mengi ligi ya ndani(kichapo toka simba) na mashindano ya kimataifa
 
kwa nini alifokewa mkuu, mbona wakimbilia kwenye matokeo unakwepa mchakato (process).

kufokewa kwake kunatokana na upendeleo wa wazi alio onesha, hana tofauti na mac dean akiwa anachezesha mechi ya totern
mzee mbona unateseka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kufa basi[emoji23][emoji23][emoji23] this is Simba brother
 
Wanjiku Aka Wanjiru amepotea toka jana. Kwa yeyote aliye na habari zake basi awasilishe kwenye thread hii.
Mdomo mrefu mbaya unaweza kukulazimisha ukaanza likizo bila malipo bila ya kutarajia.
 
Hongeri Simba kwa kufuzu hatua ya makundi lakini lazima mkaze msuri kweli kweli maaana mnakwenda kukutana na Wanaumme wa shoka waliozoea kula pesa za CAF kila mwaka
Ni kweli! Inabidii na vilabu vyetu vizoee kula pesa ya CAF kila mwaka ila hili litawezekana kwa kuboresha ligi yetu ya ndani.
 
Thubutuu yake..Unataka wapate maafa. Mechi ya TPL dhidi ya MNYAMA, mzunguko wa pili wanatamani lau isingekuwepo tu[emoji3][emoji3]
Kale mchicha na ngano ya kutosha uimarishe akili yako na macho, kwa iyo zile rafu ulitaka apete mbona nyoni kapigwa kadi...
Ombeni mechi ya kirafiki na Nkana kabla hawajarudi kwao nakuhakikishia mtakula 10
 
Watani hongereni kwa ushindi mnono mmepambana kweli mlistahili ushindi
A dose of fresh air.Kumpata mtani anayejua maana ya utani. Wengine ni chuki tu.Mpira ni furaha na kutaniana kusiko vuka mipaka.
Haji Manara ambaye babu yake mzaa mama Mzee Haji alikuwa Mwenyekiti Simba lakini haikumzuia Sunday Manara kwenda kumchumbia na kumuoa mama yake Haji Manara. Kwani hakuna uadui.
 
makundi gan??? kilabu bingwa au shirikisho??? jifunze kutenganisha makundi anayocheza simba na anayocheza yanga[emoji23][emoji23]
Na kweli atenganishe hayo makundi, kundi la tukuyu stars huwezi kulilinganisha na kundi la Esperance au tp mazembe
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…