Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yanga wamenikumbusha ule wimbo wa Snura wa majanga.
Kufungwa afungwe Nkana, Yanga ndio anateseka.
Kama sio majanga ni nini basi?Au tubadilishe iwe Mayanga sio majanga.
Mbona majangaaa [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi Mkuu bado unabishana nao hao wanaodai tumeujulia mpira Insta. Koh koh.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Mpira mmejulia wapi eti
 
Sorry mtani kama umekwazika ni utani huo, kwa kuwa Hajar nilimtafutia dada yake Shunie kwenye utani wa Jadi..

Nafikiria kukupatia mwenziwako mtani.

Lakini jifanye kama unajikuna mtani..Simba Ni Tishio Unasemaje..![emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio fb kwenu mnafanya hivi
 
Yabidi uwe wewe tena. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Au unasemaje ndugu yangu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kubali tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa kuchelewa huku yabidi nikuahidi game zijazo za makundi yaani kila mkishida basi zawadi yangu itakuwepo. [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila mwambie shem awache tabia mbaya ya kukabakaba [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nijiandae na zawadi zijazo

Si unajua shem wako akiwepo hata jf nashindwa kuingia naanzaje sasa
 
Yabidi uwe wewe tena. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Au unasemaje ndugu yangu? [emoji23][emoji23][emoji23] Kubali tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimekuwa mimi hakuna namna kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nijiandae na zawadi zijazo

Si unajua shem wako akiwepo hata jf nashindwa kuingia naanzaje sasa
Hahahaaa. Jiandae tu kwa zawadi ndugu yangu.

Najua hiyo kitu ndugu. Ni ngumu mnoo. Muda wa kuliwazana ule, kujibebisha pia kupalilia ndoa. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 
Huu uzi mtamuuuuuu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] hatimaye nimeumaliza hakunaga kama mnyama

Ebu niulizieni uko chama ameoa
 
Hahahaaa. Najua hiyo kitu ndugu. Ni ngumu mnoo. Muda wa kuliwazana ule na kujibebisha. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Hahahaha achana na kuliwazana ujue hajui kama mkewe member wa jf kabisa aliyetukuka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimekuwa mimi hakuna namna kabisa
Ewaaaaa. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Huu uzi mtamuuuuuu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] hatimaye nimeumaliza hakunaga kama mnyama

Ebu niulizieni uko chama ameoa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndugu nakugawa. Yuko wapi jirani yangu Sakayo akuchukue?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…