Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

45+2' mpira ni mapumziko Simba wanatoka uwanjani wakiwa mbele ya mabao mawili dhidi ya goli moja la. Nkana FC
 
Hawa Nkana defence yao ni soft sana inapitika kirahisi mno shida ni kwa WAWA na NYONI hawa jamaa siwaamini kabisa muda wowote wanachoma
Semaa nn hawa nkana...wakifanya shambuliz linakua na madhara makubwa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…