Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]???Simba inanifanya mpaka niogope kuangalia mechi dooh, Mungu saidia ishinde
Hongera mkuu. Niongezee sifa nyingine mkuu.Kigagula wewe!!
Engineer.....game yetu hiiVyura Fc ngapi hukooooo.....!!!
Soma hiyoooo
Mamaeeeeeee injiniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaInjiniaaa somaaaa hapooo........ aaaaaaahh ni 2 mkuuu
Timu pekee inayoiwakilisha nchi kimataifa kwa sasa ni Simba, usijifanye na hili hulijui.Nchi gani kwa mfano acha kukuza mambo
Mkuu hutowaona wakija kuulizia matokeo tena hapa.21' Ligi ya mabingwa Afrika uwanja wa Taifa
Simba SC 0-1 Nkana FC
Naunga mkono, 3-2 itapendeza!Naungana nawe. Simba piga hao Nkana Goli 3 kwa 2.
Semaa nn hawa nkana...wakifanya shambuliz linakua na madhara makubwa sanaaHawa Nkana defence yao ni soft sana inapitika kirahisi mno shida ni kwa WAWA na NYONI hawa jamaa siwaamini kabisa muda wowote wanachoma
Mnyama on fireeeeee 2-1Ngapi hukoooo..