Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
simba bwana, kule mbele wazee tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana mkuu, kama kuna vyama wa Nkana, chama anaweza asionekaneKuna mnafiki amesema hamuoni chama.....watanzania bahna
Tena ni kazi kweli kweli.kwa hiyo ili simba ipite inatakiwa imfunge Nkana goli tatu siyo? mbona kazi ipo
Wanaamini ktk 'utu uzima dawa' na 'ujana maji ya moto lkn hayachomi nyumba'simba bwana, kule mbele wazee tupu
Hapa naangalia kwa raha sana.Simba inanifanya mpaka niogope kuangalia mechi dooh, Mungu saidia ishinde
Na KessyADUI MWOMBEE NJAA, sitaki unafiki niliwahi kuiombea heri SIMBA Kwa moyo wangu wote Mechi yake na ATLETICO SPORTS AVIACAO ya Angola mwaka 1993 Ile ya Kina Kanka wemba, Yanda, Abilio, Amanali, Bravo(c), libenge nk LEO NIKO NA NDUGU ZANGU TUNAOUNGANISHWA NA TAZARA.
Hapa naangalia kwa raha sana.
Nkana naamini hawataniangusha leo
"Mocha mocha"21' Ligi ya mabingwa Afrika uwanja wa Taifa
Simba SC 0-1 Nkana FC