Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
aseeh hadi rahaaa kuwa shabiki wa simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Injinia soma ngap hiyoooooo?Vyura Fc ngapi hukooooo.....!!!
Soma hiyoooo
Kalambe ndimu ushushie na madafu, utakufa hujaliona hilo tukio chura wewe!!Nkana bhana. Hebu nipeni furaha na leo tena.
Uzi huu hatuachii ng'o. Usisahau kila kona tupo mkuu. Kama vipi ondoken na uzi wenu hapaYanga mtoke kwenye uzi wetu
Simba tupeni rahaa watanzania...Ligi ya mabingwa Afrika uwanja wa Taifa
Simba SC 2-1 Nkana FC
Hahaha ndimu inakamuliwa kwenye dafu. Inazuia malaria.Kalambe ndimu ushushie na madafu, utakufa hujaliona hilo tukio chura wewe!!
Shida ni kuwa simba watashinda ngapi. Hapo tu mkuu.HISTORIA HUWA HAIDANGANYI
NKANA HAJAWAHI KUFUNGWA NA SIMBA KWAKE na pia SIMBA HAJAWAHI KUFUNGWA NA NKANA NYUMBANI
Komaa na domesticated team mkuuNkana bhana. Hebu nipeni furaha na leo tena.
Sawa mkuu ila hii game Nkana ikipigwa napigwa nayo. Naipenda bureKomaa na domesticated team mkuu
Achana na ya kimataifa
yale ya Kitwe tume ya futaShida ni kuwa simba watashinda ngapi. Hapo tu mkuu.
Mi naangalia tu mkuu. Tukutane mech ikiisha.yale ya Kitwe tume ya futa
hapo tunawapiga cha UCHUNGU 1 tu