DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Nakuoneni tu na mbwembwe zenu. Karibuni viporo vyenuUtajua mwenyewe na uchawi wakoππππππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuoneni tu na mbwembwe zenu. Karibuni viporo vyenuUtajua mwenyewe na uchawi wakoππππππππππ
πππππππππππππWasubiri kipindi cha tatu
Samehe mambo ya mzuka wa ushindi kakaNishawahi kukutana nje ya utani wa kawaida? I won't take this lightly my friend.
hamna kitu hapo wasindikizaji tuuKunya kunya kunya this is simbaaaa meza panadol hahahha
Mkuu ningekuwa karibu ningelipa. This is Simba.Leo nitatandika maji mpaka vyura wote nihakikishe wameisha.....muhudumu lete safari moja kubwa baridi.
Ninyi mme wah fika wapi?hamna kitu hapo wasindikizaji tuu
Wana stress, badala ya kuwaza mechi yao na tukuyu stars wanawaza mambo makubwa, hawa makapuku sijui kwa nn wanafeli kila siku
Hapo sasaπππππππ!!!nyege zangu Mimi iweje akojoe mwingine!!!!!Kufungwa wafungwe NKANA maumivu na Mateso wanayapata VYURA
Wanakalampa tumewasuuza leo, leo ni zamu ya mbute mbute fc kulala mapema kabisa, kuliwa waliwe Nkana, maumivu wapate jirani zetu.Mende wote chalii, wamekimbia
Hapo sasaπππππππ!!!nyege zangu Mimi iweje akojoe mwingine!!!!!
Mwingine anapewa dose wao wanakata viuno.Hapo sasaπππππππ!!!nyege zangu Mimi iweje akojoe mwingine!!!!!
UkomeeeeeeeeNkana tupen raha wana jangwani
UkomeeeeeADUI MWOMBEE NJAA, sitaki unafiki niliwahi kuiombea heri SIMBA Kwa moyo wangu wote Mechi yake na ATLETICO SPORTS AVIACAO ya Angola mwaka 1993 Ile ya Kina Kanka wemba, Yanda, Abilio, Amanali, Bravo(c), libenge nk LEO NIKO NA NDUGU ZANGU TUNAOUNGANISHWA NA TAZARA.
Namsubiri arudiSamehe mambo ya mzuka wa ushindi kaka
Heshima kwako,agiza Heineken baridi hapoSimba hafanyagi makosa haswa anapokuwa nyumbani hvyo Nkana wajiandae kisaikolojia maana naziona si chini ya 3
Wanateseka sanaa....kwa nini!!!!ππππππππMwingine anapewa dose wao wanakata viuno.
Tulia wewe. Niko huku najadili ujio wa ndege mpya.Uko wapi mkuu
NONDA SHAABANINadiriki kusema tokea Tanzania iumbwe hakuna mchezaji alie sajiliwa nje ya nchi mwenye uwezo wa kucheza kama triple c mwamba wa lusaka
Ukibisha njo na data ilio shiba na hoja za msingi mara ya mwisho kuliona goli kama lile ilikua kwenye laliga na messi alizidi akafunga tu kujifurahisha
Alie mleta chama ndio anae fanya alie mleta makambo na kindoki kutukanwa na majirani zetu
Ila mkude namwona kama mtukutu mmoja arsenal aitwaye xhaka tuache yote simba ina mashabiki wengi bana bila hata takwim za twaweza
Sina mengi shabiki wa simba kesho ukinitembelea shop unanunua bidhaa nakulima jezi ya mnyama kwa watano wa mwanzo