Salunbote Lyevedu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 669
- 478
Iliisha kweli si umeonaMechi imeisha hii tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iliisha kweli si umeonaMechi imeisha hii tayari
Hahhhahahahahah shukrani mkuuHeshima kwako,agiza Heineken baridi hapo
James Samwel mchambuzi na mtangazaji wa soka wa azam hupenda kumuita The Brain.Nadiriki kusema tokea Tanzania iumbwe hakuna mchezaji alie sajiliwa nje ya nchi mwenye uwezo wa kucheza kama triple c mwamba wa lusaka
Ukibisha njo na data ilio shiba na hoja za msingi mara ya mwisho kuliona goli kama lile ilikua kwenye laliga na messi alizidi akafunga tu kujifurahisha
Alie mleta chama ndio anae fanya alie mleta makambo na kindoki kutukanwa na majirani zetu
Ila mkude namwona kama mtukutu mmoja arsenal aitwaye xhaka tuache yote simba ina mashabiki wengi bana bila hata takwim za twaweza
Sina mengi shabiki wa simba kesho ukinitembelea shop unanunua bidhaa nakulima jezi ya mnyama kwa watano wa mwanzo
Umeamini kama ni porojo au alimaanishaMpira hauchezwi mdomoni bali kwenye pitch, ina maana porojo za yule zeruzeru mnadhani zinafanyakazi uwanjani?
ChamaaaaaaaaChama kakutana na Vyama.
Tehtehteh sawa Mkuu..Tulia wewe. Niko huku najadili ujio wa ndege mpya.
Habari yako mkuuHapa naangalia kwa raha sana.
Nkana naamini hawataniangusha leo
Tulia wewe. Niko huku najadili ujio wa ndege mpya.
Ungese akifanya baba yako usidhani ni kila mtu. Naona kijana unafuata nyayo za ungese wa baba yako.Wewe mama tu.Huniharibii furaha yangu.
Hahahaha wanajifanya hawajui kinachoendeleaVyura wanajifanya wako busy na ujio wa ndege mpya
Duh! Leo utalala na furaha sana.Hapo sasa😀😀😁😁😁😁😁!!!nyege zangu Mimi iweje akojoe mwingine!!!!!
Siwezi kukupinga kwa hoja yako chief ila hata moyo wako unasema chama japo mikono ina andika n'gonda sorry nondaNONDA SHAABANI
Ungese akifanya baba yako usidhani ni kila mtu. Naona kijana unafuata nyayo za ungese wa baba yako.
Wenzio timamu wanafurahia bila bugudha kwa wengine. M
Come mierda.
Umesomeka vizuri.Jamaa ungekausha tu, kichaa hajibiwi kwa njia kama zake.
Naaaaam naaaam hujakosea ahsante kwa kumbukumbu huyo ni hatari lakini salamaJames Samwel mchambuzi na mtangazaji wa soka wa azam hupenda kumuita The Brain.