Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Nadiriki kusema tokea Tanzania iumbwe hakuna mchezaji alie sajiliwa nje ya nchi mwenye uwezo wa kucheza kama triple c mwamba wa lusaka

Ukibisha njo na data ilio shiba na hoja za msingi mara ya mwisho kuliona goli kama lile ilikua kwenye laliga na messi alizidi akafunga tu kujifurahisha

Alie mleta chama ndio anae fanya alie mleta makambo na kindoki kutukanwa na majirani zetu

Ila mkude namwona kama mtukutu mmoja arsenal aitwaye xhaka tuache yote simba ina mashabiki wengi bana bila hata takwim za twaweza

Sina mengi shabiki wa simba kesho ukinitembelea shop unanunua bidhaa nakulima jezi ya mnyama kwa watano wa mwanzo
James Samwel mchambuzi na mtangazaji wa soka wa azam hupenda kumuita The Brain.
 
This is simbaaaaaaa[emoji123][emoji123][emoji123]
81d6e500e81ba3a4883e348153121537.jpg
 
Back
Top Bottom