Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Kama wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo usiniambie unanikana hivi si ulisema siku ile name hajui upo jf
Tuyaache hayo dada. 😷😷😷

🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
ujinga nnao mwingu mkuu, ujue nilishangaa hata ile mpira kuanzishwa bila ya ridhaa ya refa. ni mpya kwangu
Ni lazima ushangae sana tu!
Haya tuseme refa aliibeba simba...! Umeridhika?...vyura bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wafungwe nkana, muumie nyie...teh teh!
 
ko nkana walilalamika wasicho kijua, zile kadi zilikua za nini?,

kwamba ni ruhusa mpira kuanzishwa kabla watu hawajajipanga wala kupigwa kwa filimbi ya ruhusa.

ficha ujinga wako wewe ni kilaza
Mkuu mipira yote ya faulo huwa refa anapiga filimbi ndo inaanzishwa????
 
Tuyaache hayo dada. [emoji40][emoji40][emoji40]

[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti
 
Mkuu mipira yote ya faulo huwa refa anapiga filimbi ndo inaanzishwa????
N
Msimlaumu inawezekana bado anafikiri kwamba lazima refa apige filimbi kwenye kila tukio kama ilivyokuwa zamani. Sheria zinabadilika kila mara.
 
Ijumaa vyura watapata timu mpya ya kushabikia.
Mbabane-OUT
Nkana-OUT
ZItakuwa timu zipi ili migongo wazi wapate wageni?
Jana walianza kelele uwanjani baada ya Nkana kupata goli moja. Waya za spika zilipochomolewa niliwaonea huruma.Walionekana kama vyura walio kwenye bwawa lililokumbwa na ukame na maji yote kukauka.
Walibaki kuhema na kutoa mimacho.
 
Kuna watu wanapenda mpira wakati mpira hauwapendi, Kwanza sio kila faulo lazma ianze kwa filimbi ndo mana wachezaji huenda karib na mpira kuzuia wakati mabek wakijipanga. Jambo dogo mtu anang'ang'ania tu, kusoma Sheria hataki kuangalia matukio kama hayo kwa mechi zilizopita hataki ilimradi abishe. Akili yake kama ya timu yake maana msimu uliopita yanga walifungwa goli na mbeya city la hivyo hivyo wakaenda kumzonga refa . Faulo haisubiri filimbi labda kama mpigaji ataomba apimiwe hatua ndio maana mabek wanaambiwa mmoja akasimame karib na mpira
Kusubiri filimbi ya refa isiyokuwa Peinati na Kona..Ni sawa kusubiri filimbi ya refa kwa mpira wa kurushwa ukitoka.

Kusoma sheria hawataki pia hata kuangalia matukio pia hawataki..asiyekuwa na akili huwezi kumpa akili

Kwani kuna ambaye anateseka ili tufute matokeo 4-3?
 
Back
Top Bottom