Dar: Taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) yafanya Kampeni ya Upimaji Macho

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
819
Reaction score
1,093
Watu mbalimbali wakiwa kwenye foleni ya matibabu ya macho katika kampeni iliyoendeshwa na taasisi ya Child Eye & Vision Organization (CEVO) katika Hospitali ya wilaya Mabwepande jijini Dar es Salaam.

Mwisho wa Kampeni ni tarehe 17/06/2025
 
Hata kama mlimpa babu yangu miwani ya bure ya macho lakini ndio mumpe miwani kama ya kuchomelea vyuma? Sijapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…