Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀😀!Kwa sababu wewe ni kama nzi...kila akisikia harufu ya mharo...ashafika pale.Sasa wajua
Umezaliwa Burundi nini?Dar es salaam isn't just the biggest city in the world. It's the biggest city in the history of the world. The super-mega-troprolis is home to more than 3 million people. The city proper holds more like 5 million, which is closer to the size of New York.Dar es salaam is so large, it makes more sense to think of it as a country........
Unaongea nini meku hebu tulia basi
Kwa maana anazungumzia Mkoa wa Dar es Salaam? Mkoa wa Dar es Salaam una Kilomita za Mraba 1800. Hiyo ni tofauti na Jiji yaani Urban Proper na Outskirt ambayo labda ndo hiyo inayotajwa kuwa ni 1500Km za mraba. Yafaa tu kukumbuka kuwa Dar es Salaam kwa Wastan imespan kilometa 35 hivi kila upande kuanzia City centre.Nadhani anazungumzia ukubwa wa enei lote la Dar kama jiji. Bila shaka ni mji ulotawanyika bila mpango maalum na kufanya liwe jiji kubwa wartu kidoo
Cairo iko mbele ya Lagos [emoji39] [emoji39]
Sijaelewa maana inawezekana mtoa mada kaweka fumbo.
Lakini kama ni mada straight forward,basi mtoa mada amepotoka kwa makusudi au kwa kutojua.
Tusiende kidunia bali tubaki hapa Afrika. Miji mikubwa au yenye idadi kubwa ya watu ambayo iko Afrika ni kama vile Lagos, Cairo, Kinshasa kutaja michache.
Sasa inashangaza kidunia ambapo miji kama Shanghai, Beijing, Tokyo et al ina watu zaidi ya million 20(Most Popolous Urban Conurbanation-Zingatia spelling)!
Dar bado sana
Mkuu, kuna jiji la Cairo linabeba watu Milioni 20!
Huu ni utani au??
Umezaliwa Burundi nini?
Wakenya wameleta uzi huu, wana wachezea akili.Mleta uzi itakuwa umetoka lindi wiki hii
Wakenya wanandio wameweka hii kutu hao, wamejaa hapa wanacheka tuuSijaelewa maana inawezekana mtoa mada kaweka fumbo.
Lakini kama ni mada straight forward,basi mtoa mada amepotoka kwa makusudi au kwa kutojua.
Tusiende kidunia bali tubaki hapa Afrika. Miji mikubwa au yenye idadi kubwa ya watu ambayo iko Afrika ni kama vile Lagos, Cairo, Kinshasa kutaja michache.
Sasa inashangaza kidunia ambapo miji kama Shanghai, Beijing, Tokyo et al ina watu zaidi ya million 20(Most Popolous Urban Conurbanation-Zingatia spelling)!
Dar bado sana
This was done by kenyans, badala ya kukimbizana na Al Shabaab, wamejaa hapa kutekenya wa watz.Ungeuliza kwanza Mkuu badala ya kuandika kitu ambacho si kweli.
With an estimated population of 8.55 million in 2015, New York City is the most populous city in the United States and the premier gateway for legal immigration to the United States. The New York City Metropolitan Area is one of the most populous urban agglomerations in the world.