Dar:The largest city in the world

Dar:The largest city in the world

Dar leo gesti zimejaa, tigo hq ya dunia wanapasuana msamba hukoo...
 
Sijaelewa maana inawezekana mtoa mada kaweka fumbo.
Lakini kama ni mada straight forward,basi mtoa mada amepotoka kwa makusudi au kwa kutojua.
Tusiende kidunia bali tubaki hapa Afrika. Miji mikubwa au yenye idadi kubwa ya watu ambayo iko Afrika ni kama vile Lagos, Cairo, Kinshasa kutaja michache.
Sasa inashangaza kidunia ambapo miji kama Shanghai, Beijing, Tokyo et al ina watu zaidi ya million 20(Most Popolous Urban Conurbanation-Zingatia spelling)!
Dar bado sana
 
Nadhani anazungumzia ukubwa wa enei lote la Dar kama jiji. Bila shaka ni mji ulotawanyika bila mpango maalum na kufanya liwe jiji kubwa wartu kidoo
 
Dar es salaam isn't just the biggest city in the world. It's the biggest city in the history of the world. The super-mega-troprolis is home to more than 3 million people. The city proper holds more like 5 million, which is closer to the size of New York.Dar es salaam is so large, it makes more sense to think of it as a country........
Umezaliwa Burundi nini?
Unaongea nini meku hebu tulia basi
 
Nadhani anazungumzia ukubwa wa enei lote la Dar kama jiji. Bila shaka ni mji ulotawanyika bila mpango maalum na kufanya liwe jiji kubwa wartu kidoo
Kwa maana anazungumzia Mkoa wa Dar es Salaam? Mkoa wa Dar es Salaam una Kilomita za Mraba 1800. Hiyo ni tofauti na Jiji yaani Urban Proper na Outskirt ambayo labda ndo hiyo inayotajwa kuwa ni 1500Km za mraba. Yafaa tu kukumbuka kuwa Dar es Salaam kwa Wastan imespan kilometa 35 hivi kila upande kuanzia City centre.
Ndiyo maana Umbali kutoka Clock Tower(zero ya Mkoa wa Dar es Salaam) hadi Bunju ni 36km, kiluvy 33km, Minaki 27km, Mwandege 26km.
Hivyo kwa eneo la mji ukiassume 36x36 tayari ni 1296 say 1300kilometa za mraba. Hapo tumeacha kabisa vijijini kama Dondwe, Pemba mnazi, Tundwi Songani ambalo ni eneo kubwa kabisa la Kigamboni ambako ni kijijini kabisa. Kama kuna mtu ameshawahi kufika au kupita njia ya Dar es Salaam Zoo iliko atakubaliana na mimi kuwa eneo la Dar es Salaam kwa upande wa Mashariki halijaguswa kabisa.
Kuanzia ferry pale hadi Dar es Salaam inakoishia ni kilometa 60,ambazo nu sawa na Dar hadi Mlandizi.
Hivyo eneo ambalo halijajengwa Dar ni kubwa kuliko lililojengwa na kukaliwa na watu.
 
Ayaya waTz Kweli ma dimbidi 4 pages na bado they dont get sarcasm
 
Sijaelewa maana inawezekana mtoa mada kaweka fumbo.
Lakini kama ni mada straight forward,basi mtoa mada amepotoka kwa makusudi au kwa kutojua.
Tusiende kidunia bali tubaki hapa Afrika. Miji mikubwa au yenye idadi kubwa ya watu ambayo iko Afrika ni kama vile Lagos, Cairo, Kinshasa kutaja michache.
Sasa inashangaza kidunia ambapo miji kama Shanghai, Beijing, Tokyo et al ina watu zaidi ya million 20(Most Popolous Urban Conurbanation-Zingatia spelling)!
Dar bado sana

Mkuu, kuna jiji la Cairo linabeba watu Milioni 20!
Huu ni utani au??
Umezaliwa Burundi nini?

You all failed to realize that that was nothing but a parody to the opening comments by Annael in this thread here:
Dar es salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi
 
Sijaelewa maana inawezekana mtoa mada kaweka fumbo.
Lakini kama ni mada straight forward,basi mtoa mada amepotoka kwa makusudi au kwa kutojua.
Tusiende kidunia bali tubaki hapa Afrika. Miji mikubwa au yenye idadi kubwa ya watu ambayo iko Afrika ni kama vile Lagos, Cairo, Kinshasa kutaja michache.
Sasa inashangaza kidunia ambapo miji kama Shanghai, Beijing, Tokyo et al ina watu zaidi ya million 20(Most Popolous Urban Conurbanation-Zingatia spelling)!
Dar bado sana
Wakenya wanandio wameweka hii kutu hao, wamejaa hapa wanacheka tuu
 
Ungeuliza kwanza Mkuu badala ya kuandika kitu ambacho si kweli.

With an estimated population of 8.55 million in 2015, New York City is the most populous city in the United States and the premier gateway for legal immigration to the United States. The New York City Metropolitan Area is one of the most populous urban agglomerations in the world.
This was done by kenyans, badala ya kukimbizana na Al Shabaab, wamejaa hapa kutekenya wa watz.
 
DAR IS LARGE...HAUTAAMINI...WE SAMPLED SOME OF THE RESIDENTS ON THE STREETS OF DAR

Back
Top Bottom