Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Nachukia Demokrasia ya Vyama vingi kwa nchi changa kama hii.
Just know: You are not alone. It is high time for Africa and African countries to define for themselves the true meaning and relevance of democracy.

This imported and externally imposed package, as we know it, is arguably the greatest and worst of all root causes of our formidable foes of all time. It is divisive, disruptive, 'distractive,' destructive, self-detonating, deleterious weapon.

Sadly, most have been so trained & brainwashed to embrace it mindlessly and unconsciously anyway.
 
Kuna watu toka washinde kwa Rekodi, lakini hawana raha huko [emoji23][emoji23][emoji23].
Kuna mkwere 2010 alishinda kidogo ila alikuwa anazurura dunia nzima bila matamko kutoka kwa mabeberu na White House alialikwa, na Bush na Obama walikuja Tz kama kwao [emoji23][emoji23][emoji23]..
Usisahau ndiye mliyemzodoa ile mbaya kwamba ni VERY WEAK leader. "Mwenzenu mlisema mie mpolempole hivi; sasa dawa nimewaleteeni mkali!" Halafu sishangai sana maana unadhani legacy nzuri ya Rais ni "kualikwa" na "kualika" hao jamaa watesaji wa Bara la Afrika.
 
Tanzanians have to be security-conscious. An obsessive involvement of foreign actors such as Bob Amsterdam is a red flag and a huge national security concern! Lissu has been a very serious national security risk!
Hata hao mawakili wake wenyewe bila shaka wanashangaa inakuaje anaruhusiwa kupitiliza kiasi hiki? Nchini mwao katu vitendo dizaini hii haviwezi kuruhusiwa wala kuvumilika.
 
Yes patamu hapa, CCM wamempata wa kuwamaliza, tuliomba mtu wa kuua CCM sasa kapatikana nukuu ya baba wa taifa"atakeiuvunja ccm atatokana na ccm yenyewe"
uchaguzi kama huu haujawahi kutokea dunuia
Madokta & wanasaikolojia hushauri sana mtu ajipe matumaini hata pale masahibu yake ni ugonjwa usioponyeka. Nawapongeza sana Watanzania kwa kufanya maamuzi ya kishujaa kuwakataa hayo madalali: ushoga, rehani kwa rasilimali, sera za kashfa, matusi na kupinga kila k2, kutumia uchochezi, uchonganishi ili kuzua tafrani na machafuko, kuendelea kudumazwa katika ukoloni wa London & Washington, kuamuliwa masuala yetu na mataifa ambayo kimsingi yameporomoka, nk.
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kuhamasisha maandamano sio kosa la jinai kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Sheria yetu inaelekeza tutoe taarifa tu ya tarehe, muda na njia ya maandamano hayo. Kukamatwa kwangu hakukuwa na sababu yoyote zaidi ya vitisho na usumbufu tu. Aluta continua!!! Maandamano yako pale pale!
 
Tanzanians have to be security-conscious. An obsessive involvement of foreign actors such as Bob Amsterdam is a red flag and a huge national security concern! Lissu has been a very serious national security risk!
Why obsessive? And how has Lissu become a National Security Risk?

Maybe niwe sijaelewa which side your comment leans to, but if my understanding is right, when did majority choice of leadership became a Security issue?, you people have become so stiff necked you can't differentiate left from right, you actually think you have a Mesiah amongst you.
 
Madokta & wanasaikolojia hushauri sana mtu ajipe matumaini hata pale masahibu yake ni ugonjwa usioponyeka. Nawapongeza sana Watanzania kwa kufanya maamuzi ya kishujaa kuwakataa hayo madalali: ushoga, rehani kwa rasilimali, sera za kashfa, matusi na kupinga kila k2, kutumia uchochezi, uchonganishi ili kuzua tafrani na machafuko, kuendelea kudumazwa katika ukoloni wa London & Washington, kuamuliwa masuala yetu na mataifa ambayo kimsingi yameporomoka, nk.
Agiza chochote naja kulipia aisee
 
Chama chochote cha siasa kikishindwa mara nyingi hugeuka kutoka chama cha siasa na kuwa kikundi cha uasi.

Dalili kubwa za kundi na uasi ni kuanza kudai uhuru ambao tayari inchi inao.

Wakati mwingine kundi la waasi huona serikali iliyopo si halali kuongoza nchi.

Serikali iliyopo inatakiwa kufuatilia kwa ukaribu kabisa nyendo za watu hao kwa sababu nia na malengo yao ni kuhatarisha usalama wa nchi.
 
Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania ni wapole sana, yaani nchi kama Rwanda, au Urusi unatukana rais matusi yote na kebehi na kuhamasisha UASI na kisha unakimbilia Ubalozi wa nchi ya kigeni bado wanakuchekea tu! Rwanda hata ukienda "Jupter" unadakwa huko huko... Ifike wakati Tanzania tuwe wakali kama ilivyokuwa enzi za Nyerere....
Watoto wa kizazi kipya eti wanaogopa vikwazo...watu tuliwekewa vikwazo hadi majivu na mkaa yakawa "colgate" sanda za kuzikia zikawa kaunda suti.....pumbavu kabisa!
 
Madokta & wanasaikolojia hushauri sana mtu ajipe matumaini hata pale masahibu yake ni ugonjwa usioponyeka. Nawapongeza sana Watanzania kwa kufanya maamuzi ya kishujaa kuwakataa hayo madalali: ushoga, rehani kwa rasilimali, sera za kashfa, matusi na kupinga kila k2, kutumia uchochezi, uchonganishi ili kuzua tafrani na machafuko, kuendelea kudumazwa katika ukoloni wa London & Washington, kuamuliwa masuala yetu na mataifa ambayo kimsingi yameporomoka, nk.

Umenena mkuu🤝🇹🇿👍
 
Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania ni wapole sana, yaani nchi kama Rwanda, au Urusi unatukana rais matusi yote na kebehi na kuhamasisha UASI na kisha unakimbilia Ubalozi wa nchi ya kigeni bado wanakuchekea tu! Rwanda hata ukienda "Jupter" unadakwa huko huko... Ifike wakati Tanzania tuwe wakali kama ilivyokuwa enzi za Nyerere....
Watoto wa kizazi kipya eti wanaogopa vikwazo...watu tuliwekewa vikwazo hadi majivu na mkaa yakawa "colgate" sanda za kuzikia zikawa kaunda suti.....pumbavu kabisa!

Huu ujumbe nimeusoma kwa kuurudia mara nne Ndebile itoshe tuu kusema naziona hisia zako na mapenzi makubwa kwa nchi yako kupitia ujumbe ulioweka hapa.

Ujumbe toka kwa mwananchi, mwanaume, mzalendo wa Tanzania

Mungu ibariki Tanzania watu wake na mali zao, Mungu mbariki Rais John Pombe Magufuli, Mungu mbariki Rais Hussein Ali Mwinyi
 
Back
Top Bottom