Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
VIJANA wa Tanzania mnapenda maisha mazuri lakini hamtaki kuyapigania. Huko kwa wenzetu walivikuta vyaelea au walivipigania na kuvisimamia? Usipojenga misingi imara ya haki na demokrasia utapata vipi uhuru wa kufurahia maisha mazuri? MUDA ni sasa au mjute kuanzia January 2021Serikali inavyofanya haikubaliki katika nchi nyingi za wenzetu. Maandamano ya Amani sio kosa ila serikali inaogopa picha yake kupakwa tope. Waziri wa mambo ya nje wa US mike pompeo kahoji hali inayoendelea na akisema suu tunaelekea walikokua zimbabwe