Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Serikali inavyofanya haikubaliki katika nchi nyingi za wenzetu. Maandamano ya Amani sio kosa ila serikali inaogopa picha yake kupakwa tope. Waziri wa mambo ya nje wa US mike pompeo kahoji hali inayoendelea na akisema suu tunaelekea walikokua zimbabwe
VIJANA wa Tanzania mnapenda maisha mazuri lakini hamtaki kuyapigania. Huko kwa wenzetu walivikuta vyaelea au walivipigania na kuvisimamia? Usipojenga misingi imara ya haki na demokrasia utapata vipi uhuru wa kufurahia maisha mazuri? MUDA ni sasa au mjute kuanzia January 2021
 
Wezi mnawachoma moto kila siku je wizi umeisha?
Hukumu ya haki ya mwizi si kuchomwa moto, ndiyo maana hawaishi bibie.

Na kwa dini yangu ni haramu kukiadhibu kiumbe kwa moto.
Nilijua hao mashoga na wasagaji waliuliwa kipindi cha Sodoma na Gomora kumbe wamezalika wengine? Hahaha
Leo hii wapo sababu sheria ya kuwauwa haitumiwi, sasa chukulia ingekuwa inatumiwa.
Acha ujinga unadhani watu wakiuliwa kama unavyotaka, wewe ndio utapewa pepo? Tena wewe ni kuni ya kuchochea wengine lol.
Ujinga wangu katika hili huwezi kuuthibitisha mpaka pumzi yako ya mwisho.

Siyo kwamba tutapewa pepo bali tunazitangaza haki na wenye haki wazijue. Pepo hupatikana kwa vitu vingi mno.
 
An asshole.
Jikaze kijana kisha rejea kule nilipokwambia umefanana sana kitabia na mke wangu wa tatu.
 
Kwa roho yako mbaya na ukatili wa kuua watu hiyo pepo utaionea wapi?
Wewe ni kuni tena mbichi, jiandae kuchomwa.

Tena nakwambia utakufa kifo cha majuto, chenye kiu na mateso, utakufa mdomo wazi.

(Muone alivyoanza kuogopa hahaha [emoji83][emoji88])
Hakuna uoga hapo, bali nimekuonyesha kile ambacho kimeshaandikwa ya kuwa waja tunatakiwa tuombe mwisho mwema, sababu naweza kulala mwema nikaamka muovu, na kinyume chake ni ukweli.

Hivi ni kosa kumpa mtu stahiki yake ?
 
VIJANA wa Tanzania mnapenda maisha mazuri lakini hamtaki kuyapigania. Huko kwa wenzetu walivikuta vyaelea au walivipigania na kuvisimamia? Usipojenga misingi imara ya haki na demokrasia utapata vipi uhuru wa kufurahia maisha mazuri? MUDA ni sasa au mjute kuanzia January 2021

bila shaka vijana tuna malengo ya badae, vijana tuna mipango na taifa letu na vijana lazima tupambanie future yetu. Ukimuona kijana anafurahia hali inayoendelea Tanzania lazime tuwe na shaka nae. Serikali imeipaka nchi mafuta njiti ikidondoka tu inawaka
 
Sana, wamekalia kulalamika tu, na kuomba omba bia, hajui kesho itakuaje, tunawaachia akina Lissu peke yake wapambane, hii ni hatari sana
 
Passport yetu na Mali ya Serikali ya JMTZ yetu inaweza kuchukuliwa muda wowote ule na Serikali, Kibali cha uwakili Tanzania ni mai ya Serikali ya JMTZ na kinaweza kuondolea muda wowote ule muulize Fatuma, ...
Usipende kuonyesha ujinga wako hadharani kwa kujifanya mjuaji wa mambo usiyoyajua, Passport, Kitambulisho cha NIDA, Leseni ya Gari na nyaraka nyingine wanazopewa wananchi na Serikali inabaki ni mali ya aliyepewa hata kama kwa sababu yoyote ile itarudi Serikalini na hakuna mtu mwingine atapewa hata kama ilikuwa mpya.

Passport ya mtu kwa sababu yoyote ile ikichukuliwa na Serikali ni kwa muda tu atarudishiwa au itawaishia muda wake wa matumizi na kutupwa au kuchomwa moto lakini record zitaendelea kuonyesha Passport Namba XYZ ni ya Tundu A. Lissu.

Kitakachotokea Serikali ikichukua Passport ya mtu ni kuwa mhusika hataweza kusafiri kwa Passport hiyo sawa na kama amepoteza au ameibiwa itabidi afanye maarifa mengine kama lazima asafiri. Serikali kunyang'anya Passport ya mtu kwa maagizo toka juu tunaona Awamu hii kwa madai ya wasiwasi wa Uraia wa mmiliki lakini mara nyingi huishia kumrudishia Passport yake kimyakimya! Vivyo hivyo Professional ID Documents kama vile Vibali vya Uwakili, Udaktari, Uhandisi nk.
 
Usipende kuonyesha ujinga wako hadharani kwa kujifanya mjuaji wa mambo usiyoyajua, Passport, Kitambulisho cha NIDA, Leseni ya Gari na nyaraka nyingine wanazopewa wananchi na Serikali inabaki ni mali ya aliyepewa hata kama kwa sababu yoyote ile itarudi Serikalini na hakuna mtu mwingine atapewa hata kama ilikuwa mpya...

Sasa ndio umeandika nini? Kama Serikali imeichukuwa passport yake iliyomuazima maana yake hawezi kusafiri kwa kutumia passport yetu, sasa ni kipi kigumu hapo?
 
Hapa wamemwalika Amsterdam , ni kama wameialika dunia.

Tuongeeni sasa maana ipo siku tutaamka na kuwapigia simu Iran kuwauliza wame survive vipi.
Mshamba akililia wembe mpe umkate pale pale. Limbukeni akililia moto mpe umchome pale pale
Washamba na limbukeni wakililia madaraka, wasukumiziwe iwakate na kuwachoma... tik tok tik tok tik tok!
 
Inawezekana.

Lakini usidharau kabisa mfumo wa usalama wa Tanzania kwa sasa una uwezo mkubwa wa kunasa kila kitu ndani na nje ya mipaka.

Polisi wanafuata maagizo ya intelligence na mashine nzima ya ulinzi na usalama ili Tanzania iwe salama..
Ndivyo unavyojidanganya?
 
Ngoja nikuonyeshe ya kuwa hujajibu swali. Kwako wewe umechukulia ya kuwa alicho kifanya lisu ni katika shughuli yake. Hii haiwezi kuwa shughuli sababu sababu yuko chini ya dola na anachofanya ni uchochezi,na asiye tii mamlaka na mchochezi haki yake ni hiyo.

Hii mifumo ya kijinga watu wanadekezana sana, angalia nchi zilizo fikia utimilifu wa kiutawala watu wajinga na wachochezi na wasio kubali kushindwa na wenye kuhatarisha amani haki yake ni kuuwawa. Hakuna jambo adhimu kama Amani.
Unaakili za kipuuzi sana.
 
Back
Top Bottom