DAR: Vijana watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha

Polic Leo muliro aliongea kwa kejeli San eti wanapotea wenge the hvy jeah la polic wanajuwa jinsi ya kufanya Kaz anaongea as if kwamba anajuwa kinachoendelea kwa hao vijana et wako machimboni watarud mambo ya kiw amaguma nimesikiaa cjapenda kauli zale
 
dah inasikitisha sana aisee....proper investigation should be done na watu waambiwe nini hasa kipo...ili watu wachukue tahadhari au kama ni vyombo vya dola viseme pia maana vijana watano mashababi kupotea ghafla ghafla ni hatari....
 
Hawanaga akili Hadi siku wakiondolewa kazini ndo kauli za kijinga zinaisha
 
Sasa kama police wanakamata watu halafu hawaonekani hii maana yake nini?

Tukiwaambia vijana wenzetu kuwa katiba mpya inahusu pia mambo haya ya kukamatwa na vyombo vya serikali halafu vyombo hivyo vinakaa kimya bila kutoa taarifa.

Si vijana tu bali waTanzania wengi wanakuwa hawaelewi wanasema katiba mpya ni uroho wa madaraka. Katiba mpya ni pamoja na PGO kufuatwa, majina ya mahabusu waliopo Polisi kujulikana, haki ya taarifa sahihi n. k n.k
 
Kwani haya mambo si mlikuwa mnasema yamfanywa na Magufuli? Na alipokufa si mlishangilia sana?

Sasa hiyo katiba inahusika vipi tena?
 
Huyo kamanda si ndiye kiongozi wa wasiojulikana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…