Haters wa maendeleo ya watanzania ni watanzania..sasa mlitaka hako ka-business kawe owened na mzungu..gosh! amejaribu tumpe moyo na tumpe alternative ya kujenga zaidi ala
Kila nikisikia hili la mlimani city huwa nakasirika lakini nifanyeje. Unaweza kujionea hali halisi ya msongamano wa wanafunzi chuo kikuu madarasani na vyumbani. Hawa viongozi wetu wakaamua wahodhi ardhi kwa miaka 100 ili iwe kituo cha biashara badala ya kujenga vitengo vya utafiti, madarasa, nyumba za walimu , wafanyakazi na hata wanafunzi. Jiulize hao jamaa wanapata faida gani hapo. Huu (Mlimani city )ni uoza mwingine ambao utakuja kuwekwa hewani muda sio mrefu
Itakuwa sasa ishatoka, project hii ilisimama kabisa?Mkuu GT,
Pesa ya uchaguzi (sorry stimulus package = 1.7) haijatoka!
Point of correction: Ipo Garden Road, pembeni ya Rose Garden Bar
Kwa sasa hakuna kinachoendelea pale manake ujenzi umesimama na rumours kibao zinaendelea kuzunguka.
Niliwahi kusoma mahali kuwa Dar Village iliwahi kufadhiliwa na Shelter Afrique, bahati mbaya Shelter Afrique hawakuweza tena kuendelea kutoa mkopo, hapo sijui kilichoendelea. Ila it was the most ambitious project that would have changed that part of Dar, now being late, wengine wamechangamkia tenda, ona vitu vipya New Bagamoyo Road!
wabongo wanapenda artificial modes hivyo hayo masuala ya bustani na viwanja vya watoto watakuwambia inategemea UTASHI wa KISIASA.Badala ya Mall, wajenge kiwanja cha kuchezea watoto na bustani ya kupumzikia watu. Hatuhitaji mall nyingine bali public spaces ambazo ni salama, accessible na zinazovutia.
Amandla......
Badala ya Mall, wajenge kiwanja cha kuchezea watoto na bustani ya kupumzikia watu. Hatuhitaji mall nyingine bali public spaces ambazo ni salama, accessible na zinazovutia.
Amandla......
pombe zinanena siku hizi lolOkeee....
GT,
hapa wakiletwa wataalamu kutoka jumuia ya kiislam mambo yatakuwa super. Hii ni sababu nyingine ya kujiunga na jumuia ya kiislam. Au wewe unasemaje?
Labda kwa vile kuna watu humu (akiwemo GT) wanadai kuwa Tanzania ikijiunga na jumuiya ya kiislam itapata misaada kibao na umaskini utakwilia mbali.
Think Big?!!?