Dar Village Project in Dar es Salaam

Dar Village Project in Dar es Salaam

Kila nikisikia hili la mlimani city huwa nakasirika lakini nifanyeje. Unaweza kujionea hali halisi ya msongamano wa wanafunzi chuo kikuu madarasani na vyumbani. Hawa viongozi wetu wakaamua wahodhi ardhi kwa miaka 100 ili iwe kituo cha biashara badala ya kujenga vitengo vya utafiti, madarasa, nyumba za walimu , wafanyakazi na hata wanafunzi. Jiulize hao jamaa wanapata faida gani hapo. Huu (Mlimani city )ni uoza mwingine ambao utakuja kuwekwa hewani muda sio mrefu
 
Haters wa maendeleo ya watanzania ni watanzania..sasa mlitaka hako ka-business kawe owened na mzungu..gosh! amejaribu tumpe moyo na tumpe alternative ya kujenga zaidi ala

Nashkuru sana, maana sijasikia watu wakiuliza exim tower, lile jengo pale red cross

suala la dar village halina siri, watu wamepewa kilaini, lakini je hamuoni ni bora tuwanyang'anye au tukae kimya!?
 
Kila nikisikia hili la mlimani city huwa nakasirika lakini nifanyeje. Unaweza kujionea hali halisi ya msongamano wa wanafunzi chuo kikuu madarasani na vyumbani. Hawa viongozi wetu wakaamua wahodhi ardhi kwa miaka 100 ili iwe kituo cha biashara badala ya kujenga vitengo vya utafiti, madarasa, nyumba za walimu , wafanyakazi na hata wanafunzi. Jiulize hao jamaa wanapata faida gani hapo. Huu (Mlimani city )ni uoza mwingine ambao utakuja kuwekwa hewani muda sio mrefu

Chukua tano mwanangu. Kinaniuma sana unapoona wanafunzi wanapigania daladala kwenda kutafuta sehemu za kuweka mbavu. Hii yote ni shauri ya Prof. Luhanga, Prof. Mshana na Dr. Chungu. Walaaniwe kwa hili.
 
Back in late 2008, I saw a billboard in Samora Avenue about a new mall called "DAR VILLAGE" opening soon and they also wrote in the billboard that it is opening in May 2009 !

My excitement knew no bounds as I eagerly awaited for May 2009, having visited Nairobi the same year and seen all those malls in every corner i thought we might be heading the same way with loads of malls coming up...

May 2009 finally came but there was no hype about Dar Village or advertisement and that billboard was still lying there with no updates, thought may be it will take some few months but after waiting for entire year and 3 months (it's now September 2010) there is no sign of Dar Village opening soon 🙁

WTF is going on in our City ??? If they were just going to build half constructed empty space and advertise in the streets about a new mall opening then aren't they cheating the general public ???

Does anyone know if Dar Village is really going to open anytime in the future or is it going to be left the way it is (half constructed empty space) ???
 
Point of correction: Ipo Garden Road, pembeni ya Rose Garden Bar

Kwa sasa hakuna kinachoendelea pale manake ujenzi umesimama na rumours kibao zinaendelea kuzunguka.

Hapana, iko TPDC Road pembezoni(adjacent) na Rose Garden Bar!
Nyuma ya Zain kama mita 150 kutaka maungano ya maji machafu(cOSTECH)
 
Niliwahi kusoma mahali kuwa Dar Village iliwahi kufadhiliwa na Shelter Afrique, bahati mbaya Shelter Afrique hawakuweza tena kuendelea kutoa mkopo, hapo sijui kilichoendelea. Ila it was the most ambitious project that would have changed that part of Dar, now being late, wengine wamechangamkia tenda, ona vitu vipya New Bagamoyo Road!
 
Ujenzi Umesimama tangu mwaka jana, sababu yake bado haijulikani, lakini kulikuwepo na kesi mahakamani kati ya rose garden na mwenye mradi.
 
mwenye mradi yaani zadok yuko busy na kukampenia ccm. ndo anasmbaza yale mabango, anaelekea kufilisika kama scandinavia
 
Yaani hii kitu inataka kuwa gofu maana kila nikipita pale nothing is going on tatizo ni kwamba hiyo project nzima inavyoonekana ni kuwa imekaa kihuni mara kesi za ajabu ajabu zisizo na msingi, kitu kingine jamaa yuko busy kumpigia kampeni JK maana aslimia 90 ya mabango yote ya A1 Outdoor yanapicha za kikwete
 
Badala ya Mall, wajenge kiwanja cha kuchezea watoto na bustani ya kupumzikia watu. Hatuhitaji mall nyingine bali public spaces ambazo ni salama, accessible na zinazovutia.

Amandla......
 
Badala ya Mall, wajenge kiwanja cha kuchezea watoto na bustani ya kupumzikia watu. Hatuhitaji mall nyingine bali public spaces ambazo ni salama, accessible na zinazovutia.

Amandla......
wabongo wanapenda artificial modes hivyo hayo masuala ya bustani na viwanja vya watoto watakuwambia inategemea UTASHI wa KISIASA.

Kama ZADOK kafulia, is very sad kwa kweli.
Jamaa nimjuavyo ni kwamba amejitahidi kuwekeza kadiri awezavyo na mbinu zake za kibiashara hasa ushindani ni za kimafia kweli kweli. Nadhani walioumizwa naye lazima watakuwa wanagonganisha glass wakisoma humu na kuthibitisha kuwa jamaa is NOVA. Hizo artworks kwenye mabango yake ni very poor na hizo concepts hazina mashiko. he is super stupid

Ninyi mnaosema kuwa tunamnanga sana ni wanafiki kinoma. tutampaje hongera mtu ambaye ni rigid asiyependa kwao? Amewekeza tanzania as starting point lakini moyo wake hauko Tanzania. Niambie kampuni gani lililoanzishwa na raia kisha HQ yake iwe mail elf kadhaa kutoka nchini kwake? Huu si uzalendo. Pia anavyowatreat wafanyakazi wake ni unyama mtupu. Hazingatii sheria za kazi na kwa kuwa analindwa na wakubwa na UwT anaweza kufanya chochote bila kuulizwa lolote.

GT umeleta mada muda muafaka.
 
Badala ya Mall, wajenge kiwanja cha kuchezea watoto na bustani ya kupumzikia watu. Hatuhitaji mall nyingine bali public spaces ambazo ni salama, accessible na zinazovutia.

Amandla......

Ndugu yangu si unajua viwanja vinavyogawiwa kifisadi wao watawaza saa ngapi sehemu ya watoto kucheza na bustani ya kupumzikia watu ili hali wanataka kushibisha matumbo yao kwanza
 
kaka pesa za kumalizia ujenzi bado zinazungushwa kwenye uchaguzi, baada ya uchaguzi ndo litamaliziwa. Lakini hii ni siri usimwambie mtu nimewaonea huruma tu kuwaambia.
 
Sometimes imitation is NOT the best form of flattery.

Kafanya hesabu akaona kwamba naye ataweza kupata kile ambacho "mwekezaji" wa Mlimani City anakipata. Hakufanya vizuri hesabu za ndani, kafanya zile za juu juu tu! Mradi kama huu unapaswa uwe umekamilisha kila hesabu; contractor keshalipwa, vibali vimelipiwa, material zimenunuliwa, ratiba ya ujenzi imeshakamilika. Huwezi kutarajia senti toka kwa "wapangaji". Hakuna mtu anayenunua mbuzi kwenye gunia siku hizi. Hakuna!

End of story.

-> Mwana wa Haki
 
Labda kwa vile kuna watu humu (akiwemo GT) wanadai kuwa Tanzania ikijiunga na jumuiya ya kiislam itapata misaada kibao na umaskini utakwilia mbali.

Think Big?!!?

Aihusiani katika huu mjadala. Huyo unayemtetea hapa JF ameshachangia mambo mengi ya kidini...You call that thinking big?? thinkin big is to ignore mtu anayetaka kuleta hoja za kidini.
 
Back
Top Bottom