Mnaijua Lagos lakini au mnaioneaga kwenye movies za nollywood tu?
Oga, huu uzi wako peleka huku!Haya tutiririke picha za projects kati ya majiji haya mawili
Yenyewe logos inafanana na kariakoo tu,majengo ni matano tu na yako avenue moja
Ukitaka kuona vituko pakua app yao, utachoka zaidi! Haieleweki, ukiingia inakupeleka tena kwenye web view!Duuu hata jukwaa lao siyo bora kama JF. Halijapangwa vizuri. Liko hovyo hovyo kama slum za kibera.
Ahaaa haaahaaa
Hiyo app ovyo balaa! Ilikua imevurugika, ilishinda ikigomagoma...sikuwahi itumia even once. I uninstalled it asap! Ni kirusi kile.Ukitaka kuona vituko pakua app yao, utachoka zaidi! Haieleweki, ukiingia inakupeleka tena kwenye web view!
Acha bongo iitwe bongo!
Nashangaa sijui kwa nini forum kubwa kama hiyo hawatatui tatizo hilo!Hiyo app ovyo balaa! Ilikua imevurugika, ilishinda ikigomagoma...sikuwahi itumia even once. I uninstalled it asap! Ni kirusi kile.
Sijui kama Seun amewahi ambiwa, amewahi kuiona....siwaelewi wale.Nashangaa sijui kwa nini forum kubwa kama hiyo hawatatui tatizo hilo!
Kumbe ubora wa mji unapimwa kwa muktadha wa usafi!?Lagos iko very dirty na hakuna jipya pale, ni mji wa kawaida sana.
Ni vibrant indeed! Shida yao tu ni mpangilioSijui kama Seun amewahi ambiwa, amewahi kuiona....siwaelewi wale.
Lakini forum enyewe iko very vibrant, ndio maana naipenda.
π π π π π tena kiinglish cha pijin...Ongeeni kiinglish ili waje....
Sasa kama nyote mnaongea hii lugha, hawa wataelewa ni nini kinaendelea humu?
Which nonsensehahahahahaha! is this a joke?? dont compare a mega city of 20 million ppl with nonsense...