Dar vs Lagos

Dar vs Lagos

Eti zaidi ya 20 sasa kama unamacho count hapo...hua unamaneno ya ajabu sana wewe,hayo uliotaja yote Ni kwamba yanazaidi ya 40?ufala uache..
65650ed3f65c55c9c7521eb9688b9777.jpg
eb892284d9f252603548f2463c821052.jpg
fa3cfb00a52f8536e90b3d0300e1a0fe.jpg
Two tower city proven
 
lol! this is the city you are always crying abt here....hii bado sana...is this ur best pics? yaani nimecheka sana...ila pengine nakuonea leta the best pics nami nilete za Lagos ama Nairobi...chagua...alafu uwache matusi...fala ni nani?
 
Lagos more than $90b
ila mambo ya GDP haijalishi....Nigeria ina mafuta plus wako zaidi ya 180 million....sasa hata wakawa na GDP kubwa, bado wana umaskini mbaya sana...ila usijarbu kufananaisha Dar na mji wa Lagos...Dar bado sana...just think of the many buildings housing those 20 million ppl against ur 5 million people for Dar...
 
Africa ni SA cities, Nairobi, Cairo, Casablanca, Luanda, Lagos, Addis Ababa, Accra alafu sasa Dar ije hapo mwisho
nyie hata Accra tu inawakimbiza....sasa nenda hapa ujionee Nairobi Photos (kenya): A Beautiful East African City - Travel (190) - Nigeria
Ish iyo ni according to you, I'm very sure ukipost pics za Nairobi apa ni jokes ,hua nashangaa sijui mnapagawa na nn nyie? Kama ni miji bora yote ipo south ata nai ni ufala tu juzi mmekalishwa na miji yote ya south...mnapakuza sana Nai na uzuri wakenya hammiliki internet nyie kila mtu anaona ujinga wenu na ndio mana mlinyewa apa vizur na mkatii sababu mnajiona mmeiva wakat ni ni wamatopeni
 
ila mambo ya GDP haijalishi....Nigeria ina mafuta plus wako zaidi ya 180 million....sasa hata wakawa na GDP kubwa, bado wana umaskini mbaya sana...ila usijarbu kufananaisha Dar na mji wa Lagos...Dar bado sana...just think of the many buildings housing those 20 million ppl against ur 5 million people for Dar...
Simlitaka kujua wana GDP ngapi sasa unalialia nn?kua inatokana na mafuta Au karanga iyo sio kazi yako wala...mkishazidiwa mnavisababu kibao mara hivi mara vile...kenya $75b Lagos $90b wakenya mnachekesha sana
 
Kaka kwani population ikiwa kubwa ndio kiashiria cha maendeleo?
 
la hasha ila wale watu 180 million hawaishi msituni na wanyama...wanaishi ktk mijengo, wanatumia barabara, wanenda mashuleni, wanaenda sokoni na kadhalika...sasa mji wa watu 20 million ina barabara zaidi, mijengo zaidi, hospitali zaidi, nyanja za ndege zaidi, na kadhalika...in short, infrastructure ya mji wa 20 mil huwezi ukalinganisha na ile ya mji mdogo wa 5 mil...tukianza kujumuisha pesa zilizotumika kujenga mji ule wa Lagos nadhani hata Dar haifiki kwota...Bu the way, have you seen Lagos airport?? can you compare it to Dar airport? the stadiums?? hehe....
 
Simlitaka kujua wana GDP ngapi sasa unalialia nn?kua inatokana na mafuta Au karanga iyo sio kazi yako wala...mkishazidiwa mnavisababu kibao mara hivi mara vile...kenya $75b Lagos $90b wakenya mnachekesha sana
sasa heri sisi 75B na tz??? hehe yaani nyie ndio mnachekesha...utapata hata haijafika nusu ya ile ya Lagos...
 
Ish iyo ni according to you, I'm very sure ukipost pics za Nairobi apa ni jokes ,hua nashangaa sijui mnapagawa na nn nyie? Kama ni miji bora yote ipo south ata nai ni ufala tu juzi mmekalishwa na miji yote ya south...mnapakuza sana Nai na uzuri wakenya hammiliki internet nyie kila mtu anaona ujinga wenu na ndio mana mlinyewa apa vizur na mkatii sababu mnajiona mmeiva wakat ni ni wamatopeni
hatusemi sie...tunasoma ktk habari, blog na magazines...yaani zote zina mpangilio huo...
 
la hasha ila wale watu 180 million hawaishi msituni na wanyama...wanaishi ktk mijengo, wanatumia barabara, wanenda mashuleni, wanaenda sokoni na kadhalika...sasa mji wa watu 20 million ina barabara zaidi, mijengo zaidi, hospitali zaidi, nyanja za ndege zaidi, na kadhalika...in short, infrastructure ya mji wa 20 mil huwezi ukalinganisha na ile ya mji mdogo wa 5 mil...tukianza kujumuisha pesa zilizotumika kujenga mji ule wa Lagos nadhani hata Dar haifiki kwota...Bu the way, have you seen Lagos airport?? can you compare it to Dar airport? the stadiums?? hehe....
Kulingana na maelezo yako basi Lagos ni zaidi ya Nairobi na hata Jozi
 
ndio...na mbali sana...mji ule Nairobi inaingia nakumezwa yote...lakini Nairobi ni maridadi in terms of buildings and orderliness kuliko Lagos ila kwa ukubwa, haifikii...
 
Eti ni maridadi[emoji23][emoji23][emoji23] kwa taarifa yako lagos ni kubwa jinga tu lile. ...nisiwe biased Lagos inazidiwa me uzuri na Dar na hata nairobi...Ila kwa pato na wingi wa watu na nyumba zikizokaa hovyo hovyo wamestushinda
 
heri umekubali nairobi ina uzuri...
 
Back
Top Bottom