Dar vs Lagos

Dar vs Lagos

b9774b656aa103e5cf6b47a6d116dcde.jpg
Mkuu ni vigumu kuamin hawa watu, ni fake kila kona
huyu mzee kwa picha ndo wa 1995!! Wakenya Nyoko
 
asante sana mkuu...umejibu vzri sana bila ya matusi na kejeli...hata nimeshindwa kukupinga...una ungwana...ila pengine kidogo nikuulize, Lagos na Dar wapi ni wapi? 20 million mega city yaani inameza Dar na kuipoteza kabisa...wachana na SA cities...wale wako level yao ila Dar????
Hapa tunaongerea idadi ya watu au uzuri wa mji[emoji15] [emoji15] mana we nyangau usomeki??
 
Hapa tunaongerea idadi ya watu au uzuri wa mji[emoji15] [emoji15] mana we nyangau usomeki??
uzuri wa mji...population pia ina matter...fikiria barabara za mji wa 20 mil...huwezi ukalinganisha barabara za lagos na zile za uchafu wa darisalama
 
uzuri wa mji...population pia ina matter...fikiria barabara za mji wa 20 mil...huwezi ukalinganisha barabara za lagos na zile za uchafu wa darisalama
Ongela kwa usafi wa fly toiletiii
 
Kenge wewe usitujaze ufala .Nairobi hii hapa. Kenge nyagau wewe.Bisha kama hii sio Nairobi. Naombeni mniachae huyu jamaa Jay456watt nimalizane nae. Asikimbie leo.Mji mchafu Africa had I unavutia tourist kuja kuangalia uchafu wa Nairobi
838cd0750cdb66a0bd551bd87a543a5e-2.jpg
images-24.jpeg
images-25.jpeg
2017-06-18-16-26-30-91150505.jpeg
Africa ni SA cities, Nairobi, Cairo, Casablanca, Luanda, Lagos, Addis Ababa, Accra alafu sasa Dar ije hapo mwisho
nyie hata Accra tu inawakimbiza....sasa nenda hapa ujionee Nairobi Photos (kenya): A Beautiful East African City - Travel (190) - Nigeria
 
Kenge wewe usitujaze ufala .Nairobi hii hapa. Kenge nyagau wewe.Bisha kama hii sio Nairobi. Naombeni mniachae huyu jamaa Jay456watt nimalizane nae. Asikimbie leo.Mji mchafu Africa had I unavutia tourist kuja kuangalia uchafu wa NairobiView attachment 538151 View attachment 538150 View attachment 538149 View attachment 538148
kenge ndio nini? anyway even johannesburg and mumbai has slums...but you cant compare the cities to nonsense Dares salaam...yaani mji wa mijengo miwili utadhani soko la kariakor..
emoji23.png
emoji23.png
sikimbii ndugu mimi huyu hapa ila nataka kuingia kitandani...leo ni weekend nina mshikaji...sina mda wa kubishana na maskini wa LDC
 
Wewe ndounaechekesha kwakuiongekea Nairobi. Ngoja nikuonyeshe Nairobi usio ongelea.
tufanye upumbavu huo kesho....nataka kuingia kitandani...leo ni weekend nina mshikaji...sina mda wa kubishana na maskini wa LDC...
 
tufanye upumbavu huo kesho....nataka kuingia kitandani...leo ni weekend nina mshikaji...sina mda wa kubishana na maskini wa LDC...
Unataka kuingia kitandani au upo kwenye hostel za Nairobi. Hivi kweli mnalalavipi katika haya mazingira. Nyinyi siwatu bali wanyama.
app.jpg
huruma-nairobi-kenya.jpg
images-29.jpeg
images-35.jpeg
images-40.jpeg
 
Huu upuuzi utakuwa umeanzishwa na Wakenya baada ya Wanaijeria kuwastukia wanapenda ligi zisizo na maana kule Nairaland forum
 
asante sana mkuu...umejibu vzri sana bila ya matusi na kejeli...hata nimeshindwa kukupinga...una ungwana...ila pengine kidogo nikuulize, Lagos na Dar wapi ni wapi? 20 million mega city yaani inameza Dar na kuipoteza kabisa...wachana na SA cities...wale wako level yao ila Dar????
Kwa ukubwa hata Nairobi haioni ndani kwa dsm maana Nairobi haijafikia 700 square kilometres plus expansion yake ni limited coz of national park yenu....

Kwa kweli I prefer abuja though not livable kwa Lagos....
Lagos iisubiri Hiyo eko kidogo itaiongezea credits na kuhusu kuilinganisha na dar bado sijaona anything impressive kwa Lagos ila kwa ukubwa NI lazma Lagos itakuwa kubwa tu
 
Back
Top Bottom