Dar vs Lagos

Hapa tunaongerea idadi ya watu au uzuri wa mji[emoji15] [emoji15] mana we nyangau usomeki??
 
Hapa tunaongerea idadi ya watu au uzuri wa mji[emoji15] [emoji15] mana we nyangau usomeki??
uzuri wa mji...population pia ina matter...fikiria barabara za mji wa 20 mil...huwezi ukalinganisha barabara za lagos na zile za uchafu wa darisalama
 
uzuri wa mji...population pia ina matter...fikiria barabara za mji wa 20 mil...huwezi ukalinganisha barabara za lagos na zile za uchafu wa darisalama
Ongela kwa usafi wa fly toiletiii
 
Kenge wewe usitujaze ufala .Nairobi hii hapa. Kenge nyagau wewe.Bisha kama hii sio Nairobi. Naombeni mniachae huyu jamaa Jay456watt nimalizane nae. Asikimbie leo.Mji mchafu Africa had I unavutia tourist kuja kuangalia uchafu wa Nairobi
 
kenge ndio nini? anyway even johannesburg and mumbai has slums...but you cant compare the cities to nonsense Dares salaam...yaani mji wa mijengo miwili utadhani soko la kariakor.. sikimbii ndugu mimi huyu hapa ila nataka kuingia kitandani...leo ni weekend nina mshikaji...sina mda wa kubishana na maskini wa LDC
 
Wewe ndounaechekesha kwakuiongekea Nairobi. Ngoja nikuonyeshe Nairobi usio ongelea.
tufanye upumbavu huo kesho....nataka kuingia kitandani...leo ni weekend nina mshikaji...sina mda wa kubishana na maskini wa LDC...
 
tufanye upumbavu huo kesho....nataka kuingia kitandani...leo ni weekend nina mshikaji...sina mda wa kubishana na maskini wa LDC...
Unataka kuingia kitandani au upo kwenye hostel za Nairobi. Hivi kweli mnalalavipi katika haya mazingira. Nyinyi siwatu bali wanyama.
 
Huu upuuzi utakuwa umeanzishwa na Wakenya baada ya Wanaijeria kuwastukia wanapenda ligi zisizo na maana kule Nairaland forum
 
Kwa ukubwa hata Nairobi haioni ndani kwa dsm maana Nairobi haijafikia 700 square kilometres plus expansion yake ni limited coz of national park yenu....

Kwa kweli I prefer abuja though not livable kwa Lagos....
Lagos iisubiri Hiyo eko kidogo itaiongezea credits na kuhusu kuilinganisha na dar bado sijaona anything impressive kwa Lagos ila kwa ukubwa NI lazma Lagos itakuwa kubwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…