StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Sio lazima ushabikie.Kufuatilia tu yatosha.Maana maisha ni siasa.Yaani kuliko kushabikia Siasa bongo bora uwe hata mnywa gongo lijulikane moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima ushabikie.Kufuatilia tu yatosha.Maana maisha ni siasa.Yaani kuliko kushabikia Siasa bongo bora uwe hata mnywa gongo lijulikane moja.
NachekaALERT
👉 CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC....
Hasa wakiona haya Ma-trilioni hayaji ndo kabisaaaa.Watawatelekeza chap sana.Busara za kawaida zinamtaka Mdee na genge lake kwa sasa wachutame wasubiri muda kidogo upite then wawaombe msamaha Chadema na watanzania kwa ujumla kwa ujinga na upuuzi waliofanyishwa na Job.....
Mbowe ndio CHADEMA?ALERT
[emoji117] CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC..
Yote Mawili Ni sawa mkuu ....ushahidi Ni Mkakati wa kuiua CHADEMA Ulivyoshindwa kufanya kazi kwa miaka 5!Hivi mbona kila mpango unaoandaliwa na CCM huwa unagonga ukuta na mwisho wanalazimisha ushindi kwa mabavu?
Ni upungufu wa watu wenye akili au ina viongozi wasio akili na wanawalazimisha wenye akili kufuata yao?
Kwa akili ya MATAGA wanaweza kufanya hayo lakini kama wamesikiliza na kuitazama hotuba ya Mbowe (Mwamba) jana usiku nina uhakika hawatathubutu.Tatizo wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe. Wanasahau kuwa watanzania wa sasa ni welevu wa kiwango cha kutisha.ALERT
👉 CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC...
Yeye haoni shida kwani tukichafukwa yeye binafsi anapata hasara gani?.Anapungukiwa na nini?.Kwa afya ya Nchi mwenyekiti wangu wa CCM akutane na hawa vyama rafiki ili maisha yaendelee. Tunachafuka sana sana.
Kama ilivyotokea kwa wale viti maalumu wa CUF CHADEMA watateua sasa wabunge halali wa viti maalumu na kuwasilisha majina yao...
Aonyeshe na gati za kiapo,na wakati wanaapishwa Nani alikuwepo?Iyo namba( 2) ndo sijaielewa....yani yeye ndo aiandae list iende tume badala ya katibu mkuu..majina ambayo hayajathibitishwa na kamati kuu?!!...mamlaka ayo kapewa na nani?!!
mkuu nini kimewasibu mbona mnatukana tu bila formula😂😃😃😃😃😂Kashapigwa za uso hizo ngonjera atakaxokuja nazo zitakuwa Ni kelele tu Wala watu hawatakuelewa Tena
Mdee Ni msaliti inatosha ana tamaa na pesa
Aende tu CCM [emoji1787][emoji3577]
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Unaaandaa mwenyewe then unapost .ujinga mtupuALERT
👉 CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
- Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
- Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC...
the expected...... ubatili, ubatili, ubatiliALERT