Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ndiyo zipi? Zishatolewa juu ya hao waliotajwa? Wengine kwetu mapya hayaWe jamaa swali gani hili?? Taarifa sahihi zi utapews na mamlamka husika ambayo ni wizara ya afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wewe ndio una weledi wa kutuletea taarifa za mpasuko chadema?Mwananchi limepoteza ueledi kabisa
Kwamba wameajiriwa watu kujiunga kwenye makundi hayo yote?Wats app watu wanachomwa na wenzao humo humo kwny ma grupu sishani ka TCRA wana mda wa kudukua kila mtu kila dakika....
Kuna masnitch tu ukiongea wana screen shot wanatuma kunapohusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao waliotajwa utajuaje kama kweli wamekufa na corona?? Hao jamaa ni wajinga, hapo washaharibu kila kitu hadi huko kazini kwao, huwezi kimbilia moja kwa moja kupost taarifa ambayo umeisikia tu kwa washkaji zako bila kuwa na uhakikaNdiyo zipi? Zishatolewa juu ya hao waliotajwa? Wengine kwetu mapya haya
We nadhani hujamuelewa huyo jamaa, ni hivii TCRA walitoa namba za whatsapp na email ilikupokea taarifa za watu wanaozusha taarifa za corona. Hivyo hapo inaonekana kuna mmoja wa wana group ka-screenshot then akatuma huko police au TCRA.Kwamba wameajiriwa watu kujiunga kwenye makundi hayo yote?
Hao watu uliowasema wapo lakini ni wachache sana, kuanzia leo nikupe taarifa simu yako ikidukuliwa basi mdukuaji anaona na kusikia kila kitu kama wewe unavyoona na kusikia kupitia simu yako. Ni kama vile simu yako ipo mikononi mwake pia.
Hiyo End-To-End Encryption inasaidia mawasiliano yanayodakwa au kuchotwa juu kwa juu wakati ujumbe unasafirishwa toka kwa mtumaji hadi kwa mpokeaji, lakini upande wowote wa mtumaji na mpokeaji ujumbe unakuwa umefunguliwa code yani unakuwa decoded au deciphered unakuwa plain text ili mwenye kifaa(simu) aweze kuusoma au kusikia au kuona.
Kwa hivyo kama kadukuliwa mtumaji au mpokeaji basi kila kitu kinasomeka au kuonekana wazi kwa mdukuaji.
.Uzushi SI wakufumbia macho hongera jeshi la polisi
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Ikifika kwenye group sio personalMawasiliano ya watu private mnaingilia ya nini?Hayo ni personal
Personal wapi? Unawajua wore walio kwrnye group vizuri? Wengine polidi,usalama Wa taifa nk mmoja aweza choma sio kuingiliwa kunakuwa na MTU kwenye group anachomoa waya Wa betriMawasiliano ya watu private mnaingilia ya nini?Hayo ni personal
Kwa hiyo hata kama kuna mtu kwa makusudi anazua taharuki au anatoa taarifa za uongo aachwe tu?? Wizara ya afya mbona inapambana na kuokoa maisha ya watu, na wizara ya mambo ya ndani ndio inashughulika na nyie mnaotunga uongoIlitakiwa waweke nguvu kubwa kwenye hii vita ya Corona hiki sio kipindi cha kukamatana ni kipindi cha kuokoa maisha ya watu kila mtu kwa nafasi yake....