Fafanua tafadhali.Wakizembea yatawakuta ya kongo
Mshambiwa hameni msije mkasema hamjambiwa
Ova
Fafanua tafadhali.
Congo imewahi kulipuka volcano magari,nyumba na mimea iliharibika
Congo imewahi kulipuka volcano magari,nyumba na mimea iliharibika
... Let's wait for Geological Survey of America achana na wawinda teuzi Chief.Wataalam wa jiolojia wa Chuo kikuu DSM, Jana sikuona wanatoa sababu za kisayansi kuhusu tukio hilo - walikuwa wana zungumza kama ma layman vile!!
Binafsi naona tukio hilo haliwezi kuwa limesababishwa na Volcano kwa kuwa hapakuwepo na moto, lojolojo ya miamba nk.
Hilo tope limekuaje mkuu,una pic au link nipate vizuri hii habari ,am interested it sounds km mother nature
Mabingwa kutoka vyuo vyetu vinavuoheshimika hata wao hawana uhakika ni nini kimetokea!Hivi pale ile ni Volcano kumbe mana kama sikosei wk ile kuna mtoto alitumbukia pale akatolewa sasa Volcano ukitumbukia kama unakuwa mzima sijui ni Volcano gani hiyo ila ninavyofahamh pale hadi Bemaco bev kwenye zile kota ni eneo la maji mana linaenda mpaka kokoni kule kwa mzee ndevu
Ni kawaida ya wasomi wetu ila mi ninavyofahamu lile eneo kwa wenyeji ni eneo ambalo linaonyesha lina maji mengi sana na ndio mana zile nyumba za pale bemaco zimetitia na hata ukienda mpaka eneo la kanisa la KKKT kile kidogo kilititia kabla la hilo kubwa kujenga na hata nyumba zilizopo maeneo ya kuanzia pale kwa Mwalimu dachi zote zinaonyesha kumezwa ila kwa Volcano sijui japo nilikuta maneno ya watu wanasema hivyo ila swali langu linabaki vile vile inamana Volcano mtu akizama ukimtoa haungui kumbeMabingwa kutoka vyuo vyetu vinavuoheshimika hata wao hawana uhakika ni nini kimetokea!