Dar: Wakazi wa eneo la Kunduchi Mtongani ambao nyumba zao zimepitiwa na ujiuji wa volcano ya tope, watakiwa kuhama

Elimu ya Tanzania ingekuwa ni bora hadi hivi sasa tungepata Majibu wa Kitaalam, ila tatizo ni kwamba Watanzania wengi tunasoma kupata GPA tu.
Mud volcanoes occur worldwide in areas of rapid sedimentation, lateral tectonic compression, and geologically recent magmatic activity. The total number of individual mud volcanoes on the Earth exceeds 2,000 and this number is growing as the exploration of deep oceans continues.

Sediments and fluids expelled from mud volcanoes provide useful information on the geology and petroleum potential of deep sedimentary basins. Mud volcanoes are considered to be a minor but yet not fully recognized and properly quantified source of greenhouse gases (mainly methane) in the atmosphere. A significant (but still uncertain) amount of methane may escape into the ocean and affect the size and characteristics of the ocean carbon pool

Finally, mud volcanoes represent a recognized geohazard that affects life forms and petroleum exploitation. This paper reviews the results of recent studies into worldwide mud volcanism.
 
Sasa Mkuu wangu umeambiwa Sisi Wakazi wa hapa Kunduchi Mtongani ambao ni Wavuvi na tumewekeza zaidi katika Uchawi tutakuelewa kweli?
 
Sasa Mkuu wangu umeambiwa Sisi Wakazi wa hapa Kunduchi Mtongani ambao ni Wavuvi na tumewekeza zaidi katika Uchawi tutakuelewa kweli?
Ni kweli hatuta elewa.
Samahani kwa kutumia lugha ya isiyoeleweka.
Ila kwa ufupi ni kuwa maeneo mengi yenye dalili kama hiyo Duniani uwa na uwezekano wa kuhifadhi mafuta mazito (crude oil deposi) na gesi.
Ni suala la muda tu.
La muhimu ni wataalamu wetu kufanya utafiti wa kina ikiwezekana mita 200-300 kubaini kilichoko chini ya tope hilo.
 
Wataalam wetu hawa wa kukariri utategemea waseme kipi cha maana...
 
Kuna mlipuko wa volkano Dar? Hebu toeni taarifa kamili na ya kueleweka. Ngoja tusubiri mabeberu - Geological Survey of America watasemaje; otherwise fake news.
kwa ubishi huu wewe utakuwa ni mmoja ya wakazi wa mabondeni
 
Elimu ya Tanzania ingekuwa ni bora hadi hivi sasa tungepata Majibu wa Kitaalam, ila tatizo ni kwamba Watanzania wengi tunasoma kupata GPA tu.

Sijui wana sayansi wetu wametoa ufafanuzi gani, lakini kama nakumbuka vizuri kanuni za kiundisi zinasema water is incompressible yaani uwezi kukandamiza maji hata siku moja, maji yana uwezo wa kukata chuma yakiwekewa pressure ya kutosha, maji yakiingia kwenye cylinder za internal combustion engines kwa bahati mbaya yakawa compressed na piston, maji yana nguvu ya kupindisha steel connecting rod, crack piston/cylinder liner - sasa hii inaleta picha gani katika tukio la Kunduchi - inaelekea maji yaliyokuwa chini ya miamba in equilibrium na pressure exerted kutokana na miamba - kama for some reasons miamba ilisogea chini zaidi na kuyakandamiza maji kwa pressure kubwa, maji yatasababisha nyufa kwenye miamba na kutoka ndani ya miamba kwa pressure kubwa na kusomba uchafu/udongo wa aina yoyote ulio kuwa juu ya miamba undogo huo utatoka kama matope kutokana geographical feature ya sehemu husika - sehemu hiyo ya Kunduchi inaonekana ni teoe tepe ndio maana nyumba zinadidimia kirahisi. My opinion, however I might be wrong.
 
Dar ni Bomu linalosubiria kulipuka..Mji huo hajapimwa asilimia zaidi ya 80 na miji mingine mikubwa na midogo inayochipukia yoote ni miji kila mtu ananjijengea anavyoamua yeye...Mojawapo ya jambo la aibu sana ni kushindwa kabisa kupima angalau miji tu basi....sasa maeneo mengi ya maji au mikondo ya maji hujazwa vifusi kipindi cha jua na kuuzwa na hivyo kutokana na Climate change mliojipimia maeneo oevu na mikondo ya maji jiandaen sawia.
 
Wahamie wapi ? mfuko wa maafa kazi yake nini , au hela zake nazo wamenunulia magari ya kampeni kama walivyozifanyia hela za corona ?
 
Mbwembwe zote kumbe umejenga jangwani??
 
.Kwa kweli pasco umedadavvua
 
Hahaha sasa uwe unaweka na number ya simu ili usisahaulike, maana baraza la mawaziri bado lina watu watatu, ukikomaa unaweza kuwa wa nne.

Unakumbuka mliambiwa hata mkikosa kura za maoni ubunge tayari mmeshakuwa vetted mnaweza kuteuliwa muda wowote maana mavyeo mengi tu.
 
Ukiachana na maelezo yako mazuri,hiyo signature yako imekaa kishamba sana,inaonyesha licha ya kuishi mjini miaka miiingii ila bado usukuma umekujaa
 
Nani Katuloga
Volcano Ndiyo Hiyo
"""""""""""--------"""""""""""""
Nitaomba Kwa Jina Yesu Na Mohammed
Sheikh Alhad
 
Wakaa kunduchi beach jiandaeni kujitwika magodoro kichwani kuhamia manzese
 
Hapa ni kuwashirikisha wanasaynasi waliobobea kuliona tatizo kwanza.

Hapa hakuna kuweja bla bla its a geological problem.
Chunguza hali ya ardhi eneo hilo, ni eneo tepetepe kwa miaka mingi.

Chunguza upstream, kuna bwawa kubwa la maji eneo lililokuwa la machimbo Kunduchi.
Maji hayo yanaenda wapi?
Chini ya ardhi!

Hilo tope tunaloliona ni chem chem ya maji ya Kunduchi machimbo.

Tuwe wabunifu kifikra!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…