Kwanini wanatolewa?Salaam Wakuu,
Wakazi 23 wa NSSF wametolewa vyombo vyao nje Mtaa changanyikeni kata ya Toangoma.
Inasemekana hakuna removal order na kuna kesi mahakamani
Watu wameharibiwa vitu vyao na wengine kuumizwa. Zoezi limefanywa na YONO Auction Mart
Je, itaratibu upoje kama kesi ipo mahakamani?
View attachment 2315021View attachment 2315022
Kweli tuazie hapo kabla ya kulaumu taasisiKwanini wanatolewa?
Lipeni kodi...shida ya wabongo mkishaona kitu cha serikali mnataka bure.Salaam Wakuu,
Wakazi 23 wa NSSF wametolewa vyombo vyao nje Mtaa changanyikeni kata ya Toangoma.
Inasemekana hakuna removal order na kuna kesi mahakamani
Watu wameharibiwa vitu vyao na wengine kuumizwa. Zoezi limefanywa na YONO Auction Mart
Je, itaratibu upoje kama kesi ipo mahakamani?
View attachment 2315021View attachment 2315022
Sikiliza hayo mabishano ni kodi mzee... hapo wanajua ni nyumba za shirika basi wanakaa bure halafu huyo malaya anajidai eti notice mfyuuu wabongo ni watu wa hovyo sana.Kwanini wanatolewa?
Muwe mnafungua video kusikiliza.Kuna kitu unaficha mleta mada
Kwa nini wanatolewa?
Alikuwa katili na muuwaji. Mtu arie chonganisha watu... Mungu upo wapi Baba uwone majibu wanapata wanaoSalaam Wakuu,
Wakazi 23 wa NSSF wametolewa vyombo vyao nje Mtaa changanyikeni kata ya Toangoma.
Inasemekana hakuna removal order na kuna kesi mahakamani
Watu wameharibiwa vitu vyao na wengine kuumizwa. Zoezi limefanywa na YONO Auction Mart
Je, itaratibu upoje kama kesi ipo mahakamani?
View attachment 2315021View attachment 2315022
Anatakiwa kweli atupe sababu za watu hao kutolewaKwanini wanatolewa?
Kabla hujarukia sababu zako, jaribu kufika eneo la tukio kupata ukweli.Hao watakuwa wanadaiwa tu,
Washazoea wanakaa kwa bei rahisi halafu hawalipi,
Wakitokewa wanalalamika,
Wamesahau usemi maarufu, "asiyefanya kazi, asile" transkated to "asiyelipa kodi ya nyumba, atolewe"