Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

Naam
 
Rudisha rushwa uliyokula ya hicho kituo cha mafuta mtaani kwa Tibaijuka
 
Hujajibu swali,

Hakuna muongozo wowote wa serikali wapi kituo cha mafuta kinapaswa kuwekwa? Kwamba kituo cha mafuta au biashara nyingine unaweza kuiweka popote tu pale mradi kuna fursa ya biashara?

Hakuna shida hata vikipangwa sehemu moja kama fremu za Kariakoo ili mradi muongozo na sheria zinaruhusu hivyo, wala hakuna haja ya kukimbilia kutupa mifano ya huko kwa kina Tottenham Hotspurs.
 
Msomi mwenye maendeo makubwa jua ni dokozi

Ujue ukisoma sana mambo mengi huwa unayaona ya kawaida sana ndo maana msomi ni muoga wa maisha ya kitaa, kitaa hapataki elimu ya darasani
 

Yani Mwanza wametia fora. Bara bara ya kuingia mjini ni moja tu Tena finyu. Iwe unatokea Musoma au Shinyanga.
 
Ukiona hivyo kila mtu anatamani angekuwa mhaya wanaupenda mkoa wa Kagera ndio maana wanakuja na hoja za kuponda maendeleo .
Hivi Kagera kuna sehemu mbaya kama vingunguti ,Buguruni ,Tandale au mbagala maji matitu aaha aah aah
 
Ahsante sana kwa mawazo chanya, viongozi wa serikali uwalisha matango poli na wenyewe ukubali hayo majungu, niliwahi kuwauliza kama kweli wahaya wanapinga maendeleo yao miaka nendarudi mbona mji wenyewe wa bukoba hauna tofauti na miji mingine, nenda Musoma, nenda Shinyanga, nenda Kigoma hali naona ni ileile tu.
 
Hujajibu swali,

Hakuna muongozo wowote wa serikali wapi kituo cha mafuta kinapaswa kuwekwa? Kwamba kituo cha mafuta au biashara nyingine unaweza kuiweka popote tu pale mradi kuna fursa ya biashara?
Kama unadhani kuna huo mwongozo si ungeweka kuliko kuniuliza mimi kama upo.

Mipango miji ina mambo mengi na kwa Dar Es Salaam; mji ambao umeshaharibika uwezi kutumia mipango ya 1950’s leo wakati maeneo ya wazi katikati ya jiji hakuna. You have to work with the existing kuboresha jiji.

Na Tanzania serikali aina hiyo hela ya kufanya uwekezaji regeneration wala wawekezaji hawana mpango huo wanachojua mafisadi kutafuta majengo ya NHS kuvunja, kuwatoa wapangaji bila ya utaratibu sahihi na hiyo ndio idea yao ya kutengeneza CBD au regeneration.

Vinginevyo hakuna mahala popote duniani utakuta mpango wa mji utakaoangaika na vituo vya mafuta vikae wapi that’s just impossible, with time.
 
Kama kodi muhimu kavunje ikulu jenga petrol station
 
Kama kodi muhimu kavunjw ikulu magogoni jenga petrol station
 
Hizi akili za Chipukizi zimekuwa tatizo hapa jukwaani!
Ni sheria ipi inayoruhusu kituo kujengwa kwenye makazi ya watu?
Hiyo Petrol station ipo hapo kwa rushwa kama ambavyo wametaka kumuonga Waziri.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Lile ni eneo la makazi,ila kwa tamaa za utajiri, mwenye kiwanja akabadili matumizi kwa kuhonga Maafisa mipangomiji,na vibali vikatoka kimagumashi.Maafisa waliofanya huo uhuni,Jerry awasimamishe kazi mara moja.
 
Anzia hapa kuweka kichwa chako sawa
 
Sasa hiyo mada ina uhusiano gani na kujenga maeneo unayoita residential.

NEMC wametoa fine kwa sababu ujenzi wa hivyo vituo auna EIA licence (environmental impact assessment) wao ndio wanatoa hiko kibali na hilo ni takwa la kisheria popote unapojenga kituo cha mafuta.

Leta hiyo ramani ya mpango miji inayoweza kupanga vituo vya mafuta vikae wapi.


View: https://m.youtube.com/watch?v=dL6JzkWKvAY
Halafu eneo mbona limetengenezwa vizuri, lipo mbali na eneo majengo na size nzuri kwa kituo cha mafuta. .

Utafananisha na vituo vya mafuta vingine nchi za ulaya unakuta kaeneo kadogo katika ya CBD watu wanaweka vituo vya mafuta


View: https://m.youtube.com/shorts/3cOFdFnPA4U?embeds_referring_euri=https%3A%2F%2Fwww.google.co.uk%2F&source_ve_path=MTU2OTE1&feature=emb_ytp_watch_again
Embu tupunguze ushamba na kukariri mambo.
 
Biashara zipi? Si wote na si kweli kufanikiwa kibiashara ndio kipimo cha kuonyesha una akili kushinda wengine.. mazingira yao na siasa zao ni tofauti sana na nchi za dunia ya 3..usilinganishe km vile upo mfanano.
 
Hizo sheria zinazingatiwa mikocheni tu? Uswahilini kuna vituo kibao kwenye makazi ya watu wilaya zote za Dar es salaam mbona hajashupalia huko?
Why mikocheni? Only.Mmm au alitaka dau kubwa zaidi akamwambia mimi.nina milioni.300 tu akagoma
Kama wanaokaa karibu na hivyo vituo wameridhika waziri hawezi kujua sehemu zote zenye kasoro, sabb nae anategemea watu wenyewe wajue haki zao.. watu wenyewe wawe wa kwanza kutokubali kuishi na kasoro kwenye maeneo yao..waziri anatekeleza kile wengi wanata.ka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…