Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mbagala kuna watu? (watu inthe real sense)Watu wa mikocheni punguzeni kudeka mbona mbagala unakuta, sheli inashea ukuta na makazi ya watu
Mkuu hizo ndizo athari za ujamaa. Wazo la biashara, Mtaji wa kwake, Serikali ya mtaa imeridhia, ardhi wamempa kibali, Mazingira wameruhusu, Ewura wamekubali, manispaa wametoa leseni.Wivu tu
Wizara yake ndio ilitoa vibali vyote kijengwe, anamlaumu nani? Kama yeye mwanaume, basi akivunieKuna SHERIA wapi kituo kiwepo sio kujenga tu kisa mil 500
Sio kwamba ukiwa JamiiForums kazi kubwa inakuwa kuonyesha ujinga wako kwa mapana zaidi au?Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Hana hayo mamlaka angekuwa nayo angefanyaWizara yake ndio ilitoa vibali vyote kijengwe, anamlaumu nani? Kama yeye mwanaume, basi akivunie
Kodi bila utaratibu hatutaki,Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Kwahiyo aliyojenga amefanya hivyo bila vibali au?Kuna SHERIA wapi kituo kiwepo sio kujenga tu kisa mil 500
Acha ujinga. Jerry kajijengea uadilifu, kilichomuondoa Mabula yeye kakishinda. Unadhani Dkt Samia anaendekeza wala rushwa?????? Jidanganye, mtapigwa risasi mfe mnaolazimisha rushwa maana mwisho wenu unahesabikaNchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa