ThnkingAloud
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 546
- 564
Kwenye utawala wa sheria uliotamalaki hayo hayawezi kutokea mbona. Sheria inachukua mkondo wake. Hakuna mtu wa kumpigia simu Pilato namna ya kutoa haki.Watanzania mna laana Nyerere alipooona Yatamtokea ya Dozer ALING'ATUKA hakuona haja ya kuanza kuwatumbua.
Walioua hivyo viwanda ni Babu, Mjomba. Baba na kaka zetu walioaminiwa na kupewa nyadhifa mbalimbali.
CAG katimiza wajibu wake lakini wengine bado wanajifikiria mpaka leo. Kwa nini haya yasitokee?
Tatizo ni CCM tu. Lakini wanayo nafasi ya kujirekebisha. CCM ndiyo wa kuleta mapinduzi ya kweli. Hata wao wanajua wewe ndiyo hujui kweli!