Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Hili nalo wakalitazame.Watu wa Dar walalamishi sana ka yatima,mimi huku liwale nanunua nyama kilo 1 sh 10,000 Napo hadi niifate kwa nauli ya sh 10,000 kwenda na kurudi,na wala silalamiki,wewe wa 11,000 kelele mingi!!
Watu wa Dar bure kabisa
Unadhani Wachagga wanapenda kula Christmas migombani?
Dar wanakimbia gharama [emoji23][emoji23][emoji93]
Upuuzi Chalamila anahusikaje na bei kuwa kubwa?View attachment 2852661
Nilikuja hapa kununua nyama leo sikukuu watoto wakale lakini nimekuta bei zimebadilika hadi elfu 11 kwa kilo, naomba serikali itusaidie udhibiti wa bei ambazo zinapanda mara kwa mara.”- Dickson Kitanda, Mkazi wa Mwananyamala
Pole mkuu; lakini ndo sikukuu inapita hivyo. Wewe ungependekeza nyama iuzwe Kg. 1 kwa Tshs ngapi?? Katika pendekezo lako zingatia yafuatayo:View attachment 2852661
Nilikuja hapa kununua nyama leo sikukuu watoto wakale lakini nimekuta bei zimebadilika hadi elfu 11 kwa kilo, naomba serikali itusaidie udhibiti wa bei ambazo zinapanda mara kwa mara.”- Dickson Kitanda, Mkazi wa Mwananyamala
Wewe akili zako zimeshafubazwa na mahaba ya chama chako.Watu wa Dar walalamishi sana ka yatima,mimi huku liwale nanunua nyama kilo 1 sh 10,000 Napo hadi niifate kwa nauli ya sh 10,000 kwenda na kurudi,na wala silalamiki,wewe wa 11,000 kelele mingi!!
Watu wa Dar bure kabisa
Kivipi mkuu; ukizingatia mada inahusu watu wameshindwa kula nyama kisa ni bei ya juu??Wewe akili zako zimeshafubazwa na mahaba ya chama chako.
Kwanin mkuu!?huu ndo ukweli,wewe njoo liwale ujioneeWewe akili zako zimeshafubazwa na mahaba ya chama chako.
Unahela lakini?View attachment 2852661