Dar: Watu watatu Wakamatwa wakiwa na kilo 15.19 za dawa za kulevya aina ya Heroin

CAG alipwe pesa zake maana JIKONO JANDAMA hakufuata STK za kumfukuza.
 
Ziara za chadema nje ya nchi ziangaliwe kwa jicho la tatu wanaeport na kuimport ngada
 
Duh kuna mtu kachoma hapo
Hawachomi kipendaroho!
Unyanyasaji na mbinu ovu zinazotumiwa na wapelelezi kuupata ukweli huwa si za kibinadamu!

Mtuhumiwa anaropoka tu ili apumzike angalau kwa sekunde maumivu!

Akikomaa sana kuzuia habari zibaki siri yake, kuna madawa mtuhumiwa anapewa yanayomfanya aanze kuropoka ukweli wote kama taahira.
 
Zikitumika njia za kibinadamu hawawezi ongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…