Dar: Watu watatu Wakamatwa wakiwa na kilo 15.19 za dawa za kulevya aina ya Heroin

Dar: Watu watatu Wakamatwa wakiwa na kilo 15.19 za dawa za kulevya aina ya Heroin

% kubwa waliodakwa na unga ni Mashekhe na Mahustadh aisee, ndugu zangu katika Imani imekuaje tena tunajilipua kiasi hiki?
 
Cambiasso academy tena duh hiki ni kiwanda cha kutengeneza haya madude
 
Pongezi nyingi sana kwa Kikosi cha kupambana na dawa za kulevya kwa kazi nzuri wanayo ifanya.

Nasi wananchi tunaahidi kuendelea kuwafichua wauza dawa kote nchini, haswa mikoa ifuatayo;
1. DSM
2. Tanga
2.Morogoro
3. Mwanza
4. Arusha
5. Mtwara
6. Mbeya n.k

Tanzania bila madawa ya kulevya inawezekana, tuendelee kutoa taarifa za siri.
 
safi sana !

hio ni sawa na kufia vitani 💪
 
kwa kazi nzuri inayo endelea kufanywa na kamishna na timu yake.

Sisi wananchi tutaendelea kutoa taarifa za siri za wauza madawa.
 
Back
Top Bottom