Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Na figo ya nini au ndiyo walikuwa wanapoteza watu maboya, 1.7m unaenda kuua mtu kana kwamba unaua swala? Watakuwa wauaji wazoefu, mpenzi naye watu walioana wana achana na kisalitiana hawauani wewe mpenzi tu kumpangishia chumba tu! Ukute chumba chenyewe cha elf 30 acha sheria ifuate mkondo wake.
 
Reactions: amu
Poleni sana kwa ndugu wa huyo mdada, na wadada mjichunge sana hili liwe somo utu sikuhizi hakuna
 
Well said
 
Inaonesha zilikuwa ni rumours tu kutoka kwa 'mnyetishaji' wa mwanzo, check convo yangu na Nyani Ngabu
Hapo umefunga kazi ya majibu ya.figo, maana ID yako tu hapo JF tunaiheshimu kwa genuine story yoyote, ngoja nifuatilie hiyo yako na Nyani Ngabu
 
Fala sana huyo mwanaume.
 
Unakula pesa yake na unaenda kuripot polis
Ili lolote baya likitokea kwako bas ijulikane ni yeye
 
Angemjengea nyumba na kumnunuli gari na kumfungulia biashara angejiua na yeye akii
Wanaume kama kuhonga hamuwezi acheni tu vitu vidogo tu hivyo unaua mtu
Asingejiua yeye, angemaliza ukoo wote wa mwanamke!
 
kwa mujibu wa nani, makonda wa daladala ?????????

na Segerea napo kuna Segerea ya Tabata ??

wapi imeandikwa kwenye jiographia ya mkoa kwamba hapa mpaka pale pataitwa Tabata Calabash Pub, pale Tabata Segerea na pale Tabata kwa bii Kidawa ????

taarifa ya polisi inatumia majina ya vitongoji according to vituo vya dala dala, Tabata Calabash Bar, Tabata Segerea.... taifa la watu illiterate
 
Swatacta, ila dem nisinge mrudia tena maana angejua ingekuwa maangamizi hahahaa.
Hauwez jua labda ungeendelea kula kimasikhara maana umemuokoa na kifo yaani hata ukimpigia sa6 usik anapokea sim na akiweza anakuna mda huhuo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Hongera sana kwa ufafanuzi ungekosa wewe naamini asingepata muungwana wakumfahamisha yote hayo.
Wakina sisi tungeanza kumuuliza yeye yupo wapi alafu tunaaza kumuambia ukipanda magari ya wapi wapi unashuka unapanda la wapiwapi kituo cha mwisho ndio segerea hahahaaa.

Nadhani wewe ni mtumishi wa uma.
 
Yaan umesema kweli kabisa
 
Hauwez jua labda ungeendelea kula kimasikhara maana umemuokoa na kifo yaani hata ukimpigia sa6 usik anapokea sim na akiweza anakuna mda huhuo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Hahahaaa ingekuwa mchezo wa hatari sana jamaa lingejua unaendelea kula linge jitoa muhanga.
 
Asante, japo nahisi anapajua vizuri ila ameeuliza kimakusudi angalia comment yake ya chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…