Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Na figo ya nini au ndiyo walikuwa wanapoteza watu maboya, 1.7m unaenda kuua mtu kana kwamba unaua swala? Watakuwa wauaji wazoefu, mpenzi naye watu walioana wana achana na kisalitiana hawauani wewe mpenzi tu kumpangishia chumba tu! Ukute chumba chenyewe cha elf 30 acha sheria ifuate mkondo wake.