Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Nina rfk angu ana-date na baba mmoja ambae wanafahamiana na wamefànyakazi pamoja na huyo aliyedai alimgharamikia sana!
Huyo baba anasema ndo alivyo,akikupenda atakupa kila kitu ila ukijifanya unamchanganya ndo huwa anafanya hivi,hakubali!
Sasa kama humpendi kwanini umlie pesa zake? Kwanini usitafute zako?
 
Dunia imekwisha
Tutakwisha yunaoitii dunia. Yenyewe ipo tu miaka nenda miaka rudi.

Mwanaume unamgharimia mwanamke asiye mkeo kwa faída ya nani? Kwanini ujipe stress? Hata mkeo akizingua piga pembeni tafuta pesa kula bata. Badilisha dadas kama pichu vile.

Maisha burudani!!!
 
Hahahahahahah naunga mkono hoja[emoji23] tatizo ni kumjua sasa mwanamke mwenye pesa za kuunga unga
Wanaume wenye pesa za kuunga unga unajua tu labda kama mwanamke huna akili. Saa ingine sio kuunga unga tu, kuna watu wanapata pesa zao kwa shida sana halafu anaenda mpa mtu anamchukulia poa.
Mfano drug dealers au majambazi, ukila hela yake na ukakitembeza nje hata awe tajiri vipi hatakuacha salama.
 
Wewe ni ndugu yake au mpaka ubishe wakati walioandika mada wanasema alitolewa figo? Habari ilisema alitolewa figo sasa wewe kuita watu wanaropoka then may be una taarifa zaidi ….
Ndugu zake walishakanushaa kuhusu huo Uvumii mdada hajapasuliwa popote wala hana jeraha mahali sasa figo zilitokea mdomoni labda
 

Temea mate chini,
Wanawake wana nguvu ya ushawishi wa ajabu sana utashangaa unajichanganya mwenyewe tu kama mbwa alieona chatu.

Alafu wanao gharamika kuhudumia kila kitu ndio mademzao wana tafunwa sana.

Kuna jamaa hapa maeneo pia, yeye amejenga kabisa na dem kahamia kabla nyumba haijaisha vizuri, mkulungwa yupo abroad for couple years sasa.
Shemeji ana tembeza mgao kama tanesko.

Then jamaa ni mjeda tena mwenye cheochake.

Wanawake ni majasiri sana.
 
Jamaa kasahau Kunguru afugiki,,,Unam ghalamia mwanamke na anakwenda kwa manjemba wengine si uache kumghalama!
Haya kila mtu hapo kapata alicho kiistaili.
 
Nope! I’m different and I’m not that stupid.
 
Footage ya marehemu na mtuhumiwa WA mauaji wakati wanatoka bar
 
Footage ya marehemu na mtuhumiwa WA mauaji wakati wanatoka bar
Bar za kibongo zina surveillance cameras ambazo zinafanya kazi?

Tena bar yenyewe Kitambaa Cheupe??!!!!

I hope wanayo hiyo video footage…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…