FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nimesema wakati wanapeleka mortuary, hospitalini, means hospitalini.Waitoe figo mortuary ya nini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema wakati wanapeleka mortuary, hospitalini, means hospitalini.Waitoe figo mortuary ya nini sasa?
Sasa kama humpendi kwanini umlie pesa zake? Kwanini usitafute zako?Nina rfk angu ana-date na baba mmoja ambae wanafahamiana na wamefànyakazi pamoja na huyo aliyedai alimgharamikia sana!
Huyo baba anasema ndo alivyo,akikupenda atakupa kila kitu ila ukijifanya unamchanganya ndo huwa anafanya hivi,hakubali!
Tutakwisha yunaoitii dunia. Yenyewe ipo tu miaka nenda miaka rudi.Dunia imekwisha
Wanaume wenye pesa za kuunga unga unajua tu labda kama mwanamke huna akili. Saa ingine sio kuunga unga tu, kuna watu wanapata pesa zao kwa shida sana halafu anaenda mpa mtu anamchukulia poa.Hahahahahahah naunga mkono hoja[emoji23] tatizo ni kumjua sasa mwanamke mwenye pesa za kuunga unga
Hili nalo neno! Baunsa angekula mzigo na hela halafu angezuga kumbe mtoto alizimia hakufa vizuri 😅
[/QUO
Hahahahaa mbinu zipo nyingi tu,kwamba alizimia hahahahahaa.
Wewe ni ndugu yake au mpaka ubishe wakati walioandika mada wanasema alitolewa figo? Habari ilisema alitolewa figo sasa wewe kuita watu wanaropoka then may be una taarifa zaidi ….Alokwambia ametolewa Figo nani????? Wabongo kuropoka tu..
Ndugu zake walishakanushaa kuhusu huo Uvumii mdada hajapasuliwa popote wala hana jeraha mahali sasa figo zilitokea mdomoni labdaWewe ni ndugu yake au mpaka ubishe wakati walioandika mada wanasema alitolewa figo? Habari ilisema alitolewa figo sasa wewe kuita watu wanaropoka then may be una taarifa zaidi ….
Thanks for info chief. Ila aliyeanzisha hii mada alisema ametolewa figo, hivo comments zote za awali tulichangia tukijua hilo.Ndugu zake walishakanushaa kuhusu huo Uvumii mdada hajapasuliwa popote wala hana jeraha mahali sasa figo zilitokea mdomoni labda
Ila watu [wanaume] wanawezaje kumhudumia mwanamke kila kitu?
Mimi mwanamke asiye na mwelekeo, asiye na uwezo wa kujihudumia yeye mwenyewe kwa kutumia akili, juhudi, na bidii zake, wala hanivutii.
Anaweza kunivutia kumkula tu, basi. Si zaidi, na si pungufu ya hapo.
Kama hajui kuandika vizuri, kuandika sentensi zilizonyooka kwa kutumia sarufi nzuri, ni dalili kuwa kichwani hajiwezi vizuri.
Huwa sielewi watu wanafikiaje hatua ya kumgharamia mwanamke karibu kila kitu!!!
Kisa pussy tu? Mbona pussy zipo nyingi tu hapa duniani tena zisizo na gharama kabisa!
Oh well, wote hatuwezi kufanana.
To each his own.
Tumeni account yake ya insta tumuone
Nope! I’m different and I’m not that stupid.Temea mate chini,
Wanawake wana nguvu ya ushawishi wa ajabu sana utashangaa unajichanganya mwenyewe tu kama mbwa alieona chatu.
Alafu wanao gharamika kuhudumia kila kitu ndio mademzao wana tafunwa sana.
Kuna jamaa hapa maeneo pia, yeye amejenga kabisa na dem kahamia kabla nyumba haijaisha vizuri, mkulungwa yupo abroad for couple years sasa.
Shemeji ana tembeza mgao kama tanesko.
Then jamaa ni mjeda tena mwenye cheochake.
Wanawake ni majasiri sana.
Yup, you just gotta let a ho be a ho.Jamaa kasahau Kunguru afugiki,,,Unam ghalamia mwanamke na anakwenda kwa manjemba wengine si uache kumghalama!
Haya kila mtu hapo kapata alicho kiistaili.
Tayari nime upload kwenye uziIko wapi?.
Bar za kibongo zina surveillance cameras ambazo zinafanya kazi?Footage ya marehemu na mtuhumiwa WA mauaji wakati wanatoka bar