Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Watu hawajifunzi kabisa. Ni nadra kuua mtu halafu ukabahatika usijulikane na kukamatwa. Utashikwa tu hata kwenye nchi maskini mifumo ya ya Sheria ni dhaifu.

Ila alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa kwa iyo ni kuomba na wewe usipangiwe kutekeleza mauaji mtu mwengine alipangiwa pindi tu alipozaliwa.
Sio kweli..
 
Ya barke unayo mkuu??
zile za jukwaa kubwa huku si walitukatalia?
ya kwanza wakiwa Bar wakipata kinywaji na yule mwanamke mwenzao alieenda chooni na nyingine wakiondoka na Bodaboda naweza kukupa. Ila nyingine
hii hapo CCTV ya kwenye Bar

na hii wakiondoka

unataka na ya ...........................
 
Ndugu zake walishakanushaa kuhusu huo Uvumii mdada hajapasuliwa popote wala hana jeraha mahali sasa figo zilitokea mdomoni labda
Dogo Jansen Bauncer hana hata utaalamu figo inakaa wapi
na wasiwasi alikula mzigo halafua akamkaba hadi kifo.
pombe si chai
 
Msitufanye wajinga, hapo kilichokuwa kinalengwa ni hiyo FIGO tu. Hayo mengine ni porojo za kusherehesha hadithi tu. Nilisema toka mwanzo, kwamba Figo ukiitoa bila utaalam ni useless, hivyo lazima surgeon mtaalam alikuwepo kuitoa kitalaam, which haiwezekani kwa guest house, hivyo baada ya mauaji na huo mwili kupelekwa mortuary, huko ndiko walipoitoa kitaalam.
Duh we jamaaaa!!!
Hakuna kiungo amenyofolewa
 
Wana nguvu ya ushawishi kwa mtazamo wako, kila mtu ana mtazamo wake kwa wanawske. Kama ilikutokea ni lazima ukiri hilo kuwa wana ushawishi mkubwa, jisemee peke yako. We' vepeee?

Sio mtazamo wangu, kwani we huoni watu wanavyo jiuwa na kuuwa kwasababu ya wanawake, wanayo nguvu nawewe unaionapi, kama sio kwako basi kwawengine.
 
Hata mm nina hii mentality aisee
Mwanamke ambae hawezi kujenga hoja na ufahamu wa mambo sijui namwonaje niwakupita nae tu kuacha kugharamia mtu kama huyo siwez

Kwanza hawa viruka njia unatakiwa uhonge kitu utachosahau, pili hawa usijenge kibanda pita chapu nenda mbele, tatu huyo dogo muuaji ni bonge la fala sijawahi kuona
 
Kwani wameshauliwa nao waliofanya mauaji au wanawaangalia tu
 
Ila watu [wanaume] wanawezaje kumhudumia mwanamke kila kitu?

Mimi mwanamke asiye na mwelekeo, asiye na uwezo wa kujihudumia yeye mwenyewe kwa kutumia akili, juhudi, na bidii zake, wala hanivutii.

Anaweza kunivutia kumkula tu, basi. Si zaidi, na si pungufu ya hapo.

Kama hajui kuandika vizuri, kuandika sentensi zilizonyooka kwa kutumia sarufi nzuri, ni dalili kuwa kichwani hajiwezi vizuri.

Huwa sielewi watu wanafikiaje hatua ya kumgharamia mwanamke karibu kila kitu!!!

Kisa pussy tu? Mbona pussy zipo nyingi tu hapa duniani tena zisizo na gharama kabisa!

Oh well, wote hatuwezi kufanana.

To each his own.
Akisha kuvutia kumkula tu,. Ndo kwisha habari yako.
Kwani wadhani wengine wamevu tiwa na Nini!
 
Back
Top Bottom