rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Ya barke unayo mkuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya barke unayo mkuu??
Sio kweli..Watu hawajifunzi kabisa. Ni nadra kuua mtu halafu ukabahatika usijulikane na kukamatwa. Utashikwa tu hata kwenye nchi maskini mifumo ya ya Sheria ni dhaifu.
Ila alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa kwa iyo ni kuomba na wewe usipangiwe kutekeleza mauaji mtu mwengine alipangiwa pindi tu alipozaliwa.
zile za jukwaa kubwa huku si walitukatalia?Ya barke unayo mkuu??
Dogo Jansen Bauncer hana hata utaalamu figo inakaa wapiNdugu zake walishakanushaa kuhusu huo Uvumii mdada hajapasuliwa popote wala hana jeraha mahali sasa figo zilitokea mdomoni labda
NomaDogo Jansen Bauncer hana hata utaalamu figo inakaa wapi
na wasiwasi alikula mzigo halafua akamkaba hadi kifo.
pombe si chai
Duh we jamaaaa!!!Msitufanye wajinga, hapo kilichokuwa kinalengwa ni hiyo FIGO tu. Hayo mengine ni porojo za kusherehesha hadithi tu. Nilisema toka mwanzo, kwamba Figo ukiitoa bila utaalam ni useless, hivyo lazima surgeon mtaalam alikuwepo kuitoa kitalaam, which haiwezekani kwa guest house, hivyo baada ya mauaji na huo mwili kupelekwa mortuary, huko ndiko walipoitoa kitaalam.
Wana nguvu ya ushawishi kwa mtazamo wako, kila mtu ana mtazamo wake kwa wanawske. Kama ilikutokea ni lazima ukiri hilo kuwa wana ushawishi mkubwa, jisemee peke yako. We' vepeee?
Na hapo ndio wengi hukosea. Maana hudhani wanaweza kuutumia uzuri huo kuwachezea watu watakavyo bila ya kujua watu hutofautiana kwa tabia na kiwango cha uvumilivu.Alikua Mzuri Maa shaa Allah.....
Waliotenda huo unyama waadhibiwe ipasavyo.
Ungejua...yale nayoandika humu na mie mwenyewe in real life vitu. Viwili tofauti. I suffer from double personality disorder...magonjwa ya kidhungu hayo. Kwa kiswahili wanasema chizi kama sijakoseaNina wish kukuona siku moja.
Nina wish kukuona siku moja.
Nope! I’m different and I’m not that stupid.
Hata mm nina hii mentality aisee
Mwanamke ambae hawezi kujenga hoja na ufahamu wa mambo sijui namwonaje niwakupita nae tu kuacha kugharamia mtu kama huyo siwez
Wahuni hawaikosi kaka...[emoji3][emoji3][emoji3]Mzee unataka connection [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Haha kweli kbsWahuni hawaikosi kaka...[emoji3][emoji3][emoji3]
vipi kuhusu kuhusu mzigo jamaa alikula?Uhai wa binadamu kwa 1.7m dunia imekwisha.
Alietumwaa lazima alikulaaa aiseeevipi ku
vipi kuhusu kuhusu mzigo jamaa alikula?
Akisha kuvutia kumkula tu,. Ndo kwisha habari yako.Ila watu [wanaume] wanawezaje kumhudumia mwanamke kila kitu?
Mimi mwanamke asiye na mwelekeo, asiye na uwezo wa kujihudumia yeye mwenyewe kwa kutumia akili, juhudi, na bidii zake, wala hanivutii.
Anaweza kunivutia kumkula tu, basi. Si zaidi, na si pungufu ya hapo.
Kama hajui kuandika vizuri, kuandika sentensi zilizonyooka kwa kutumia sarufi nzuri, ni dalili kuwa kichwani hajiwezi vizuri.
Huwa sielewi watu wanafikiaje hatua ya kumgharamia mwanamke karibu kila kitu!!!
Kisa pussy tu? Mbona pussy zipo nyingi tu hapa duniani tena zisizo na gharama kabisa!
Oh well, wote hatuwezi kufanana.
To each his own.