Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Hatari sana , hela zenyewe ngumu. Lkn wanawake wako wengi , haitaji kuua
 
yaleyale....kifupi Dada ni muuzaji wa nyapu..ndio maana mtuhumiwa namba mbili alitongoza na kwenda kula mzigo siku hiyo hiyo..

Bado maelezo nayo hayatoshelezi otherwise tukubari jamii yetu inawatu wajinga saaana ambao wanaweza kutoa roho kwa sababu za kipumbavu hivyo....
 
Sasa mbona walimtoa na Figo?!
 
Msitufanye wajinga, hapo kilichokuwa kinalengwa ni hiyo FIGO tu. Hayo mengine ni porojo za kusherehesha hadithi tu. Nilisema toka mwanzo, kwamba Figo ukiitoa bila utaalam ni useless, hivyo lazima surgeon mtaalam alikuwepo kuitoa kitalaam, which haiwezekani kwa guest house, hivyo baada ya mauaji na huo mwili kupelekwa mortuary, huko ndiko walipoitoa kitaalam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…