Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Kuna habari Ililetea humu kwamba kuna Mwanamke aliuwawa tarehe 1.1.2022 maeneo ya Tabata Segerea na kutolewa figo.

Jeshi la polisi limewakamata watuhumiwa 2 waliokiri kuhusika na mauaji hayo.

Chanzo cha kifo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa namba 1 aitwae White ambae ni mpenzi wa marehemu alimkodi mtuhumiwa wa 2 Bw. Jonsiner Bounser kwenda kumtongoza Marehemu na kisha kwenda kulala nae na kumuua kwa maelezo kwamba mtuhumiwa wa kwanza white amekua akimtuhumu Marehemu kua na wanaume wengine na sio muaminifu na yeye White amemgharamia sana ila marehemu haridhiki.

Hivyo White akakodi mtu amtongoze mpenzi wake na kisha amuue kwa malipo ya shilingi milioni 1.7 na hadi mauaji yanafanyika mtuhumiwa namba 2 alikua ameshalipwa kiasi cha 1.2m na bado anadai 500k kwa mtuhumiwa namba 1.

Mauaji ya mapenzi yameshika kasi sana.
Hatari sana , hela zenyewe ngumu. Lkn wanawake wako wengi , haitaji kuua
 
yaleyale....kifupi Dada ni muuzaji wa nyapu..ndio maana mtuhumiwa namba mbili alitongoza na kwenda kula mzigo siku hiyo hiyo..

Bado maelezo nayo hayatoshelezi otherwise tukubari jamii yetu inawatu wajinga saaana ambao wanaweza kutoa roho kwa sababu za kipumbavu hivyo....
 
Kuna habari Ililetea humu kwamba kuna Mwanamke aliuwawa tarehe 1.1.2022 maeneo ya Tabata Segerea na kutolewa figo.

Jeshi la polisi limewakamata watuhumiwa 2 waliokiri kuhusika na mauaji hayo.

Chanzo cha kifo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa namba 1 aitwae White ambae ni mpenzi wa marehemu alimkodi mtuhumiwa wa 2 Bw. Jonsiner Bounser kwenda kumtongoza Marehemu na kisha kwenda kulala nae na kumuua kwa maelezo kwamba mtuhumiwa wa kwanza white amekua akimtuhumu Marehemu kua na wanaume wengine na sio muaminifu na yeye White amemgharamia sana ila marehemu haridhiki.

Hivyo White akakodi mtu amtongoze mpenzi wake na kisha amuue kwa malipo ya shilingi milioni 1.7 na hadi mauaji yanafanyika mtuhumiwa namba 2 alikua ameshalipwa kiasi cha 1.2m na bado anadai 500k kwa mtuhumiwa namba 1.

Mauaji ya mapenzi yameshika kasi sana.
Sasa mbona walimtoa na Figo?!
 
Msitufanye wajinga, hapo kilichokuwa kinalengwa ni hiyo FIGO tu. Hayo mengine ni porojo za kusherehesha hadithi tu. Nilisema toka mwanzo, kwamba Figo ukiitoa bila utaalam ni useless, hivyo lazima surgeon mtaalam alikuwepo kuitoa kitalaam, which haiwezekani kwa guest house, hivyo baada ya mauaji na huo mwili kupelekwa mortuary, huko ndiko walipoitoa kitaalam.
 
Back
Top Bottom