Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Utaambiwa Ukosefu wa ajira ni tatizo la dunia nzima.
 
huyu mdada kumbe ndo tabia zake. Kisa mnene mweupe ndo akafanya watu madanga yake. Duh!! yani huku amepata kibano na huko kwa Mungu anakwenda kupambana na kibano kingine. Au kwa kibano walichompa huku Mungu atamsamehe?
 
Hakukuwa na haja ya mauaji.
Ila wanawake wengi huwa wanachukulia mambo kirahisi, kutokujali na kwa haraka-haraka (Irrational Way of Thinking & Approach); na hii usababishwa na tamaa, ulimbukeni, kuendekeza njaa na ulafi,hali inayopelekea kutokuchukua taadhari ipasavyo. Kwa stahili hii watauliwa sana tuu maana dunia imebadilika (There are Monsters, Satans and Barbarians out-there).
 
Ngoja nkuelimishe kidogo mimi mwenyewe ni muuguzi unatolewaje figo bla kuacha alama kwenye mwili? Na ndugu walipewa ruhusa ya kukagua mwl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…