FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Eti inasemekana jamaa alimgharamikia mno!!!Devastating kwa kweli. Kuua kama unaenda kununua bidhaa dukani.
Dada mzuri masikini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti inasemekana jamaa alimgharamikia mno!!!Devastating kwa kweli. Kuua kama unaenda kununua bidhaa dukani.
Dada mzuri masikini.
Sio biti,pengine wamelipwa mgao wa mauzo ya Figo, ndugu wenyewe inaonekana kama ndugu baki tu, uchungu hawauonyeshi kiusahihi wakeMlitarajia polisi waseme kua katolewa figo?serious nchii hii askari hawa sijawahi waamini asilani,naamini kabisa huyu Dada amefanyiwa ukatili wa kutisha..Uzuri wa maiti za kiislamu zinakafiniwa na hapo ndo unajua km nduguyo yuko salama na viungo vyote au laah!hao ndugu wamepigwa biti wasiseme tu!ila mi naona kweli unyama umefanyika
Hahahah, ufanye hivyo huku ujue kwamba unahama nchi kabisa, ukibaki atakumaliza yeye mwenyeweHilo baunsa jinga sana mtoto mzuri namnaile lina muua!!.
Ningekuwa mimi ningechukua ela ninge kula tamu alaf namwambia oyaa tayari nimesha uwa tumapesayangu iliyo baki haraka kabla sijakufata na wewe.
Nachkua albakiyangu alaf namwambia dem poa baby see you next time.
Jinga sana hili bounsa.
Duh hii id inanifurahisha mno, jidu la mabambasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Dunia haiishi ila sisi tunaisha!
Wewe sasaUjinga kugharamikia mwanamke ambaye huna bond naye
Alikua kaziniHuyo marehemu alikuwa maharage ya Mbeya sana, hao vijana wa kiume wasamehewe na kuachiwa mara moja.
Hahahah, ufanye hivyo huku ujue kwamba unahama nchi kabisa, ukibaki atakumaliza yeye mwenyewe
Kuna rafiki yangu wa kiume anasemaga hatembei na mwanamke ambae wako level tofauti kijamii. Na anasemaga hata kwa wanawake pia inatakiwa kuwa hivyo. Watu wengi ambao wanajihisi wako jamii ya chini dhidi ya wapenzi huwa wako bitter na control freaks. Mfano mwanamke hana kazi anapewa kila kitu na mwanaume siku yule mwanaume akimuacha lazima mwanamke atafanya vingi vya ajabu ikiwezekana hata kujiua. Same applies kwa wanaume type ya White muuaji. Barke ni kisu haswa, white aliamini kwa pesa zake angemmliki Barke peke ake. Alishajua yeye na Barke ni jamii mbili tofauti akalazimisha kwa pesa...Angemjengea nyumba na kumnunuli gari na kumfungulia biashara angejiua na yeye akii
Wanaume kama kuhonga hamuwezi acheni tu vitu vidogo tu hivyo unaua mtu
Mi ningemla na ningeendelea kumla!Hilo baunsa jinga sana mtoto mzuri namnaile lina muua!!.
Ningekuwa mimi ningechukua ela ninge kula tamu alaf namwambia oyaa tayari nimesha uwa tumapesayangu iliyo baki haraka kabla sijakufata na wewe.
Nachkua albakiyangu alaf namwambia dem poa baby see you next time.
Jinga sana hili bounsa.
Gharama hizo ndo ukaue? Halafu ukafie ndani? Hicho ni kichaaMe nashauri hapo hao jamaa wahukumiwe tu kwa kuua alafu iwe funzo kwa hawa wadada maana wana tamaa sana, huyo jamaa mnajua ametumia gharama kiasi gani kwake Hadi anafikia kuchukua maamuzi hayo?
Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
Nilimwambia mtu marehemu kakaa kama wale wadada wa Tabata. Wanalala wakiamka wanawaza waende bar ipi wakadake vichwa.Kabisa ingawa kuua mtu ni kosa ila huyu marehemu anaonekana alikua mjanja mjanja Sana'a watoto wa ilala hao!kimaslahi zaidi!
Ndo hivyo Sasa, we ule hela za watu alafu kirahisi tu uachwe[emoji23][emoji23][emoji23] utauwawa mzee.Gharama hizo ndo ukaue? Halafu ukafie ndani? Hicho ni kichaa
Kwa kweli Barke mzuri, ungemla hata J angekuelewa tuMi ningemla na ningeendelea kumla!
Utauaje ua zuri kama hilo????
Too bad sikuwahi kupishana naye dada uso kwa macho.
Sema white ni mapenzi yalimzidia halafu akaona binti anakula wanaume wenye hadhi kumzidi akajitia unyonge akaona bora waklse wote.Ndo hivyo Sasa, we ule hela za watu alafu kirahisi tu uachwe[emoji23][emoji23][emoji23] utauwawa mzee.
Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣Kwa kweli Barke mzuri, ungemla hata J angekuelewa tu
Nenda Upepo naona ndo kiwanja kinabamba.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja niende zangu Kidimbwi nikale upepo wa bahari.
NIDA wanazingua toka wiki iliyopita!
Hakukuwa na haja ya kumuua.Sema white ni mapenzi yalimzidia halafu akaona binti anakula wanaume wenye hadhi kumzidi akajitia unyonge akaona bora waklse wote.