Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliuliza ili upate angle ya kuponda?!!kwa mujibu wa nani, makonda wa daladala ?????????
na Segerea napo kuna Segerea ya Tabata ??
wapi imeandikwa kwenye jiographia ya mkoa kwamba hapa mpaka pale pataitwa Tabata Calabash Pub, pale Tabata Segerea na pale Tabata kwa bii Kidawa ????
taarifa ya polisi inatumia majina ya vitongoji according to vituo vya dala dala, Tabata Calabash Bar, Tabata Segerea.... taifa la watu illiterate
Ndio aliuliza kimakusudi .Uliuliza ili upate angle ya kuponda?!!
Asante, japo nahisi anapajua vizuri ila ameeuliza kimakusudi angalia comment yake ya chini
Hahaha siwezagi ligi mimi [emoji28].Hahahaaa anajifanya kichwa ngumu.
Sasa mfuate kwenye majibuyake mwambie kama hajaelewa aende kisutu ataona basi la kijani apande watamshusha tabata segerea.
Waitoe figo mortuary ya nini sasa?Msitufanye wajinga, hapo kilichokuwa kinalengwa ni hiyo FIGO tu. Hayo mengine ni porojo za kusherehesha hadithi tu. Nilisema toka mwanzo, kwamba Figo ukiitoa bila utaalam ni useless, hivyo lazima surgeon mtaalam alikuwepo kuitoa kitalaam, which haiwezekani kwa guest house, hivyo baada ya mauaji na huo mwili kupelekwa mortuary, huko ndiko walipoitoa kitaalam.
Hahaha siwezagi ligi mimi [emoji28].
Mtu nimemuelekeza tu eeh hizo hoja alizozishusha ...Hahahaa
Nina rfk angu ana-date na baba mmoja ambae wanafahamiana na wamefànyakazi pamoja na huyo aliyedai alimgharamikia sana!Eti inasemekana jamaa alimgharamikia mno!!!
Jiwe si ulikufa umefufuka tena??? anzoli gwanda yukowapi beni saa nane wako wapi kwanza tuanzie hapoNi milion 1.7 au milion 17..but uhai wa mtu hauna gharama..sheria ichukue mkondo wake..auye kwa upanga naye auliwe kwa upanga.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Alokwambia ametolewa Figo nani????? Wabongo kuropoka tu..Walienda kuifanyia nini hiyo Figo? Hili nadhani ndo swali muhimu
Mmh sshv madanga hayataki ujingaIts against ur nature
Mtu nimemuelekeza tu eeh hizo hoja alizozishusha ...
Humu mpo serious sana ngoja niende chitchat mie[emoji28].
Jamani hela hizi , Mungu atusaidie kwa kweli .Nina rfk angu ana-date na baba mmoja ambae wanafahamiana na wamefànyakazi pamoja na huyo aliyedai alimgharamikia sana!
Huyo baba anasema ndo alivyo,akikupenda atakupa kila kitu ila ukijifanya unamchanganya ndo huwa anafanya hivi,hakubali!
Ndo manaake!Kabisa ingawa kuua mtu ni kosa ila huyu marehemu anaonekana alikua mjanja mjanja Sana'a watoto wa ilala hao!kimaslahi zaidi!
Angevinyang'anya tu halafu ampige chini,sio kumuua aisee!Me nashauri hapo hao jamaa wahukumiwe tu kwa kuua alafu iwe funzo kwa hawa wadada maana wana tamaa sana, huyo jamaa mnajua ametumia gharama kiasi gani kwake Hadi anafikia kuchukua maamuzi hayo?
Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
Hahahahaa ndio ujifunze ligi ndogo ndogo iliukiingia humu ujue jinsi ya kupambana na hawa watu humu.
Mtu anakuuliza kitu vizuri tu ukimjibu anaanza kukuletea ujuaji.
Mmh sshv madanga hayataki ujinga
Si ndo hapo!Angemjengea nyumba na kumnunuli gari na kumfungulia biashara angejiua na yeye akii
Wanaume kama kuhonga hamuwezi acheni tu vitu vidogo tu hivyo unaua mtu