Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

kwa mujibu wa nani, makonda wa daladala ?????????

na Segerea napo kuna Segerea ya Tabata ??

wapi imeandikwa kwenye jiographia ya mkoa kwamba hapa mpaka pale pataitwa Tabata Calabash Pub, pale Tabata Segerea na pale Tabata kwa bii Kidawa ????

taarifa ya polisi inatumia majina ya vitongoji according to vituo vya dala dala, Tabata Calabash Bar, Tabata Segerea.... taifa la watu illiterate
Uliuliza ili upate angle ya kuponda?!!
 
Asante, japo nahisi anapajua vizuri ila ameeuliza kimakusudi angalia comment yake ya chini

Hahahaaa anajifanya kichwa ngumu.
Sasa mfuate kwenye majibuyake mwambie kama hajaelewa aende kisutu ataona basi la kijani apande watamshusha tabata segerea.
 
Hahahaaa anajifanya kichwa ngumu.
Sasa mfuate kwenye majibuyake mwambie kama hajaelewa aende kisutu ataona basi la kijani apande watamshusha tabata segerea.
Hahaha siwezagi ligi mimi [emoji28].
 
Msitufanye wajinga, hapo kilichokuwa kinalengwa ni hiyo FIGO tu. Hayo mengine ni porojo za kusherehesha hadithi tu. Nilisema toka mwanzo, kwamba Figo ukiitoa bila utaalam ni useless, hivyo lazima surgeon mtaalam alikuwepo kuitoa kitalaam, which haiwezekani kwa guest house, hivyo baada ya mauaji na huo mwili kupelekwa mortuary, huko ndiko walipoitoa kitaalam.
Waitoe figo mortuary ya nini sasa?
 
Eti inasemekana jamaa alimgharamikia mno!!!
Nina rfk angu ana-date na baba mmoja ambae wanafahamiana na wamefànyakazi pamoja na huyo aliyedai alimgharamikia sana!
Huyo baba anasema ndo alivyo,akikupenda atakupa kila kitu ila ukijifanya unamchanganya ndo huwa anafanya hivi,hakubali!
 
Mtu nimemuelekeza tu eeh hizo hoja alizozishusha ...
Humu mpo serious sana ngoja niende chitchat mie[emoji28].

Hahahahaa ndio ujifunze ligi ndogo ndogo iliukiingia humu ujue jinsi ya kupambana na hawa watu humu.

Mtu anakuuliza kitu vizuri tu ukimjibu anaanza kukuletea ujuaji.
 
NDUGU ZAKE WANASEMA MWILI MZIMA KABISA HAKUNA FIGO ZILIZOTOLEWA..

Mmmekomaa figo figoo au mnadhani figo zinapachikwa kama kuweka chaji ukutani????
 
Nina rfk angu ana-date na baba mmoja ambae wanafahamiana na wamefànyakazi pamoja na huyo aliyedai alimgharamikia sana!
Huyo baba anasema ndo alivyo,akikupenda atakupa kila kitu ila ukijifanya unamchanganya ndo huwa anafanya hivi,hakubali!
Jamani hela hizi , Mungu atusaidie kwa kweli .
 
Me nashauri hapo hao jamaa wahukumiwe tu kwa kuua alafu iwe funzo kwa hawa wadada maana wana tamaa sana, huyo jamaa mnajua ametumia gharama kiasi gani kwake Hadi anafikia kuchukua maamuzi hayo?

Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
Angevinyang'anya tu halafu ampige chini,sio kumuua aisee!
Mbona kuna mwingine tabata hukohuko,ye sasa alimjengea kabisa!
Mwanamke akawa kiguu na njia,alichofanya yule mwanaume alienda na sijui mnaita kijiko akabomoa nyumba[emoji119]akamwambia huyo uliyenae km mwanaume akujengee![emoji16]
 
Hahahahaa ndio ujifunze ligi ndogo ndogo iliukiingia humu ujue jinsi ya kupambana na hawa watu humu.

Mtu anakuuliza kitu vizuri tu ukimjibu anaanza kukuletea ujuaji.

Nachukulia mambo serious sana mie , huwa sitaki mtu anaiharibie siku .
Ignoring is the best option kwangu .
 
Mmh sshv madanga hayataki ujinga

Uyo jamaa nimjinga tu, mi ukila pesayangu wakati nakuhudumia kilakitu sipotezi muda kuwaza naleta virikuu viwili nasomba kilakitu wakiniuliza nawaambia nahama.

Chumba/ nyumba natia kufuli kodiyangu ikiisha narudisha funguo kwa mwenye nyumba.
 
Angemjengea nyumba na kumnunuli gari na kumfungulia biashara angejiua na yeye akii
Wanaume kama kuhonga hamuwezi acheni tu vitu vidogo tu hivyo unaua mtu
Si ndo hapo!
yaani kumpangishia tu,labda pia na biashara kamfungulia huwezi jua ,yaani mtu atoe 1.7 uuawe sio mchezo inawezekana Ali invest haswa!
 
Back
Top Bottom