Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Dar: Watu wawili mbaroni kwa mauaji ya Barke Rashid. Wivu wa mapenzi wadaiwa kuwa chanzo

Footage ya marehemu na mtuhumiwa WA mauaji wakati wanatoka
Bar za kibongo zina surveillance cameras ambazo zinafanya kazi?

Tena bar yenyewe Kitambaa Cheupe??!!!!

I hope wanayo hiyo video footage…
Yes footage IPO mkuu naku tag kwenye Uzi wenye footage
 
Kutoa mtu figo inahitaji utaalam ikiwezekana zaidi ya mmoja wameruhusu vipi chumba zaidi ya watu 2 au ile ingia toka hawakuhisi kitu
Hio guest nayo ichunguzwe
Inawezekana watu hata watano kukodi kila mtu chumba chake kwa muda wake kisha baadae kujumuika katika chumba kimoja, nani atajua kuwa kuna mtu katoka chumba kimoja kwenda chumba kingine?
 
sasa wewe watu tunahenya kutafuta hela tunakukodishia nyumba alafu wewe unaenda kkuwapa watu mbususu hovyo hovyo lazima wakutoe uhai. ten ashukuru katolewa uhai wengine wanakutia kilema utaabike mpaka siku unaingia kaburini. kama mie wala nisingmuua huyo bibie, ningemwambia mwana amtoboe macho basi amuache.
Mzab zab una huruma iliyochanganyika na ukatili
 
sasa wewe watu tunahenya kutafuta hela tunakukodishia nyumba alafu wewe unaenda kkuwapa watu mbususu hovyo hovyo lazima wakutoe uhai. ten ashukuru katolewa uhai wengine wanakutia kilema utaabike mpaka siku unaingia kaburini. kama mie wala nisingmuua huyo bibie, ningemwambia mwana amtoboe macho basi amuache.
Nina wish kukuona siku moja.
 
Temea mate chini,
Wanawake wana nguvu ya ushawishi wa ajabu sana utashangaa unajichanganya mwenyewe tu kama mbwa alieona chatu.

Alafu wanao gharamika kuhudumia kila kitu ndio mademzao wana tafunwa sana.

Kuna jamaa hapa maeneo pia, yeye amejenga kabisa na dem kahamia kabla nyumba haijaisha vizuri, mkulungwa yupo abroad for couple years sasa.
Shemeji ana tembeza mgao kama tanesko.

Then jamaa ni mjeda tena mwenye cheochake.

Wanawake ni majasiri sana.
Wana nguvu ya ushawishi kwa mtazamo wako, kila mtu ana mtazamo wake kwa wanawske. Kama ilikutokea ni lazima ukiri hilo kuwa wana ushawishi mkubwa, jisemee peke yako. We' vepeee?
 
We umelewa leo au mbona unachangia kiwaki sana
Ila na nyie dada zetu muache tamaa! Kama humpendi mwanaume usile hela zake.
Kuna watu wengine vichaa, unakuta amesotea hela yake, amevuja jasho, amedhulumu huko kwa ajili yako halafu unamletea za kuleta lazima akufanye kitu mbaya!!
 
Eti jaman...hlf kakutana na mtu baa day 1....huyo guest kwenda kuliwa[emoji849]
So white alijua tabia za huyu demu

Ila asingemuua...
 
Ila watu [wanaume] wanawezaje kumhudumia mwanamke kila kitu?

Mimi mwanamke asiye na mwelekeo, asiye na uwezo wa kujihudumia yeye mwenyewe kwa kutumia akili, juhudi, na bidii zake, wala hanivutii.

Anaweza kunivutia kumkula tu, basi. Si zaidi, na si pungufu ya hapo.

Kama hajui kuandika vizuri, kuandika sentensi zilizonyooka kwa kutumia sarufi nzuri, ni dalili kuwa kichwani hajiwezi vizuri.

Huwa sielewi watu wanafikiaje hatua ya kumgharamia mwanamke karibu kila kitu!!!

Kisa pussy tu? Mbona pussy zipo nyingi tu hapa duniani tena zisizo na gharama kabisa!

Oh well, wote hatuwezi kufanana.

To each his own.
Hata mm nina hii mentality aisee
Mwanamke ambae hawezi kujenga hoja na ufahamu wa mambo sijui namwonaje niwakupita nae tu kuacha kugharamia mtu kama huyo siwez
 
Ila na nyie dada zetu muache tamaa! Kama humpendi mwanaume usile hela zake.
Kuna watu wengine vichaa, unakuta amesotea hela yake, amevuja jasho, amedhulumu huko kwa ajili yako halafu unamletea za kuleta lazima akufanye kitu mbaya!!
Ni sawa tutaacha tamaa na nyinyi acheni kuwekeza sehemu ambayo hampendwi
 
Kutoa mtu figo inahitaji utaalam ikiwezekana zaidi ya mmoja wameruhusu vipi chumba zaidi ya watu 2 au ile ingia toka hawakuhisi kitu
Hio guest nayo ichunguzwe
Hii taarifa ya Kutolewa Figo ilikuepo kwenye taarifa ya awali iliuoelezea kuuawa na kupatikana mwili wa Barke.
Lakini taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa watuhumiwa haielezi habari ya Kutolewa Figo.
Wanasema chanzo xha kids Ni kukabwa shingo.
Kiufupi hakuna correlation kwa taarifa hizi mbili yaani zinaacha maswali..
 
Back
Top Bottom